mlinzi mlalafofofo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2008
- 725
- 1,282
Khee. nani tena huyo anataka kuwatenganisha majini na wapendwa wao?Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Ila si sahihi kusema umasikini wa afrika unachangiwa na dini bali mseme baadhi ya watu.Sahihi .
Sio hao tu kuna watu wanatenganisha majini kuwa sio malaika.Khee. nani tena huyo anataka kuwatenganisha majini na wapendwa wao?
Hizo takwimu umetoa wapi au leta mifano halisi ndio hoja yako itafikiriwa tofauti na hapo wewe ndo utaonekana una shida ya uelewaKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
WAACHE HIYO TABIA SIYO NZURIKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Ina maana kweli hujui kama hata Qur'an imetafsiriwa kwa kiswahili pia? Labda nikuulize hivi biblia kutafsiriwa kwa kiswahili hiyo inafanya kila mwenye kujua kiswahili kuwa anaweza akajisomea tu biblia mwenyewe na ikatosha kuijua biblia?
Ikiwa umeelewa hivyo ni vizuri ndio maana dunia nzima wanasali hivyo kupitia kuruani ila bibilia imetafsiwa sana na ndio maana huwa inapitwa na wakati na kutolewa toleo jingine kwa mfano hata majina ya bibilia inabadilika utasikia hii bibilia mara agano mara agano jipya tunasubiri mafarisayo watoe agano la zamaniBiblia zimetafsiriwa katika lugha nyingine nyingi kutia ndani kiswahili. Hilo ni jambo zuri kwa maana lugha inabadilika. Maneno huzaliwa hukua halafu hufa. Hata lugha ya kiarabu ambayo imeandikwa kwenye kiruwan, inapitwa na wakati. Ndiyo maana kiarabu hicho hata aliye muarabu hakielewi vizuri. Na kwa mtu ambaye si muarabu anabakia kukariri. Hivyo zile swala 5 mnazofanya. Hazitoki akilini wala moyoni, bali zinaimbwa kama kasuku. Au njiwa pori yule anayelia kuku kukukuku kuku kukukuku.
Ikiwa umeelewa hivyo ni vizuri ndio maana dunia nzima wanasali hivyo kupitia kuruani ila bibilia imetafsiwa sana na ndio maana huwa inapitwa na wakati na kutolewa toleo jingine kwa mfano hata majina ya bibilia inabadilika utasikia hii bibilia mara agano mara agano jipya tunasubiri mafarisayo watoe agano la zamani
Sasa hapo tofauti ya Qur'an na Biblia ni ipi kwenye kuelewa tafsiri ya maandiko? Kwa sababu hivyo vitabu vyote viwili vimetafsiri kwa kiswahili, lakini pia wote tunakubali kuwa pamoja na kutafsiriwa kwa kiswahili bado kuna somo lenye kufundisha tafsiri ya maandiko ya Biblia/Qur'an.Umeuliza swali zuri. Vizuri akawepo mtu wa kufafanua ili upate maana. Lkn pia waweza kusoma na kutafakari mwenyewe.
Kwa upande wa kuruwan, inahitaji ujifunze kwanza lugha iliyoandikwa mule ndani, yaani kiarabu. Halafu baadaye ndiyo mtu akufafanulie maana. Kusema ule ukweli, hata kama kuruwan imetasiriwa kwa kuandikwa kiarabu juu na kiswahili chini, bado haimfanyi mswahili huyu hawawezi kuelewa kiarabu. Watakuwa wanaimba yale maneno kwa kukariri kama kasuku.
Kwenye quran hakuna mafarisayo wenye uwezo wakuibadili ndio maana ipo hivyo hivyo nenda america mpaka china NI hiyo haibadilikiKuna kipindi lugha nzima ya kiarabu iliyoandikwa kwenye kuruwan itakuwa obsolete.
Hakuna kitu kinaniuzi kama nyuzi za DiniKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Baada ya kusoma mchango wako ...nimekumbuka Yale maandamano ya Wapemba kupinga kujengwa kwa Kanisa!Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Kudadadeki......!tatizo la uislamu ni quran, sunnah na vitabu vya hadith
ukisoma hadith za Sahih Bukhari, sahih muslim kwa kuelewa lazima uone uislamu ni upuuzi.
hizo sunnah za mtume pia wanazopaswa wazifate zimejaa chuki na upuuzi kibao. mfano mtume muhammad mwenyewe kapigana vita zaidi ya 80 zidi ya makafiri. hapo kwa waislamu vita ni sunnah wanaiga sunnah za kupigana kama mtume
mtume alikuwa anatombazzz watumwa wa kike. hivyo kwa waislam hiyo ni sunnah
Quran inaeleza wazi kuwa kufanya mapenzi na watumwa (unaowamiliki mkono wa kulia) inaruhusiwa. Nenda kasome Sura An Nisa 24.
Pia mfate shehe aliesoma dini vizuri akuelezee story ya Mtume Muhammad na Mariyah Mqibti na Rayhaanah bint Zayd an-Nadhwariyah. Utaona jinsi mtume alivyogongaa hao watumwa wa kike.
Tazama mwenyewe vitu wanavyofundishwa waislamu. Kwa kusoma vitabu vyao . Utaujua uislamu ulivyo na upuuzi. Soma RAHA ZA PEPONI KURASA HUU utaona wanaume wa kiislamu wanavyofundishwa kwamba peponi watapewa wanawake wasafii wawe wanawatombazzzz
View attachment 3156460
Usipoteshe mkuu,Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Sasa hapo tofauti ya Qur'an na Biblia ni ipi kwenye kuelewa tafsiri ya maandiko? Kwa sababu hivyo vitabu vyote viwili vimetafsiri kwa kiswahili, lakini pia wote tunakubali kuwa pamoja na kutafsiriwa kwa kiswahili bado kuna somo lenye kufundisha tafsiri ya maandiko ya Biblia/Qur'an.
Ukweli mkuu,dar nzima wameiuza wakisubiri pepo ya FIRDAUSukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini
kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.
ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.
ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi