Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Khee. nani tena huyo anataka kuwatenganisha majini na wapendwa wao?
 
Mimi mkristo naamini waislam wanakula ubwabwa kupindukia hasa akitegesha kibarakashia kwa upande.
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Hizo takwimu umetoa wapi au leta mifano halisi ndio hoja yako itafikiriwa tofauti na hapo wewe ndo utaonekana una shida ya uelewa
 
Ufiadini (extremists) ndo mizinguo. wana fikra za ajabuajabu sana ao. unatakiwa uwe vuguvugu yani sio wa moto wala baridi unakuwa apo kati.
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
WAACHE HIYO TABIA SIYO NZURI
KATI YA DINI AMBAZO HUWA ZINAWAHAKIKISHIA WAKRISTO KUWA WAKO SAHIHI, NI UISLAM KUPITIA QURAN
 
Ina maana kweli hujui kama hata Qur'an imetafsiriwa kwa kiswahili pia? Labda nikuulize hivi biblia kutafsiriwa kwa kiswahili hiyo inafanya kila mwenye kujua kiswahili kuwa anaweza akajisomea tu biblia mwenyewe na ikatosha kuijua biblia?

Umeuliza swali zuri. Vizuri akawepo mtu wa kufafanua ili upate maana. Lkn pia waweza kusoma na kutafakari mwenyewe.
Kwa upande wa kuruwan, inahitaji ujifunze kwanza lugha iliyoandikwa mule ndani, yaani kiarabu. Halafu baadaye ndiyo mtu akufafanulie maana. Kusema ule ukweli, hata kama kuruwan imetasiriwa kwa kuandikwa kiarabu juu na kiswahili chini, bado haimfanyi mswahili huyu hawawezi kuelewa kiarabu. Watakuwa wanaimba yale maneno kwa kukariri kama kasuku.
 
Biblia zimetafsiriwa katika lugha nyingine nyingi kutia ndani kiswahili. Hilo ni jambo zuri kwa maana lugha inabadilika. Maneno huzaliwa hukua halafu hufa. Hata lugha ya kiarabu ambayo imeandikwa kwenye kiruwan, inapitwa na wakati. Ndiyo maana kiarabu hicho hata aliye muarabu hakielewi vizuri. Na kwa mtu ambaye si muarabu anabakia kukariri. Hivyo zile swala 5 mnazofanya. Hazitoki akilini wala moyoni, bali zinaimbwa kama kasuku. Au njiwa pori yule anayelia kuku kukukuku kuku kukukuku.
Ikiwa umeelewa hivyo ni vizuri ndio maana dunia nzima wanasali hivyo kupitia kuruani ila bibilia imetafsiwa sana na ndio maana huwa inapitwa na wakati na kutolewa toleo jingine kwa mfano hata majina ya bibilia inabadilika utasikia hii bibilia mara agano mara agano jipya tunasubiri mafarisayo watoe agano la zamani
 
Kuna kipindi lugha nzima ya kiarabu iliyoandikwa kwenye kuruwan itakuwa obsolete.
 
Umeuliza swali zuri. Vizuri akawepo mtu wa kufafanua ili upate maana. Lkn pia waweza kusoma na kutafakari mwenyewe.
Kwa upande wa kuruwan, inahitaji ujifunze kwanza lugha iliyoandikwa mule ndani, yaani kiarabu. Halafu baadaye ndiyo mtu akufafanulie maana. Kusema ule ukweli, hata kama kuruwan imetasiriwa kwa kuandikwa kiarabu juu na kiswahili chini, bado haimfanyi mswahili huyu hawawezi kuelewa kiarabu. Watakuwa wanaimba yale maneno kwa kukariri kama kasuku.
Sasa hapo tofauti ya Qur'an na Biblia ni ipi kwenye kuelewa tafsiri ya maandiko? Kwa sababu hivyo vitabu vyote viwili vimetafsiri kwa kiswahili, lakini pia wote tunakubali kuwa pamoja na kutafsiriwa kwa kiswahili bado kuna somo lenye kufundisha tafsiri ya maandiko ya Biblia/Qur'an.
 
Kuna kipindi lugha nzima ya kiarabu iliyoandikwa kwenye kuruwan itakuwa obsolete.
Kwenye quran hakuna mafarisayo wenye uwezo wakuibadili ndio maana ipo hivyo hivyo nenda america mpaka china NI hiyo haibadiliki
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Hakuna kitu kinaniuzi kama nyuzi za Dini
 
Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.

Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Baada ya kusoma mchango wako ...nimekumbuka Yale maandamano ya Wapemba kupinga kujengwa kwa Kanisa!
 
tatizo la uislamu ni quran, sunnah na vitabu vya hadith

ukisoma hadith za Sahih Bukhari, sahih muslim kwa kuelewa lazima uone uislamu ni upuuzi.

hizo sunnah za mtume pia wanazopaswa wazifate zimejaa chuki na upuuzi kibao. mfano mtume muhammad mwenyewe kapigana vita zaidi ya 80 zidi ya makafiri. hapo kwa waislamu vita ni sunnah wanaiga sunnah za kupigana kama mtume

mtume alikuwa anatombazzz watumwa wa kike. hivyo kwa waislam hiyo ni sunnah

Quran inaeleza wazi kuwa kufanya mapenzi na watumwa (unaowamiliki mkono wa kulia) inaruhusiwa. Nenda kasome Sura An Nisa 24.

Pia mfate shehe aliesoma dini vizuri akuelezee story ya Mtume Muhammad na Mariyah Mqibti na Rayhaanah bint Zayd an-Nadhwariyah. Utaona jinsi mtume alivyogongaa hao watumwa wa kike.

Tazama mwenyewe vitu wanavyofundishwa waislamu. Kwa kusoma vitabu vyao . Utaujua uislamu ulivyo na upuuzi. Soma RAHA ZA PEPONI KURASA HUU utaona wanaume wa kiislamu wanavyofundishwa kwamba peponi watapewa wanawake wasafii wawe wanawatombazzzz

View attachment 3156460
Kudadadeki......!
 
Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.

Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Usipoteshe mkuu,
Tatizo ni viongozi wenu wa dini mkuu,
Kumkuta kiongozi wa dini ya kislam sio mganga wa kienyeji ni ngumu karibu wote ni wapiga ramli.

Tena mnapogombania hizo nafasi za uongozi ukiwa mwepesi unaondoka,

Nitajie kiongpzi yeyote b.akwa..a kuanzia juu hadi chini ambae yupo salama kama utampata.

Mkiitwa washirikina mnakasirika kwanini?
 
Sasa hapo tofauti ya Qur'an na Biblia ni ipi kwenye kuelewa tafsiri ya maandiko? Kwa sababu hivyo vitabu vyote viwili vimetafsiri kwa kiswahili, lakini pia wote tunakubali kuwa pamoja na kutafsiriwa kwa kiswahili bado kuna somo lenye kufundisha tafsiri ya maandiko ya Biblia/Qur'an.

Tabia ya lugha yoyote ile ni hii, kuna maneno yanazaliwa na kufa. Sasa mkiwa na msahafu ambao haubadiliki kisarufi na kilahaja basi kutakuwa na mpishano mkubwa sana wa kimuundo na kimaudhui na lugha hiyo hiyo ya kisasa. Mfano ukichukua mwarabu ambaye hajajifunza kuruwan. Hawezi akasoma na kuielewa kama atakavyoelewa machapisho mengine ya kiarabu. Hivyo kutokana na ugumu huo wa lugha au kiarabu cha zamani cha kwenye kiruwan, wengi wataacha kusoma. Matokeo yake wafuasi wengi wa uislam watabakia na maarifa machache sana akilini na moyoni mwao. Maarifa hayo ni yale waliyo fundishwa na walimu wao wa dini au waliyo karirishwa kama zile swala 5 zenu.
Pia kwa vile hawawezi kusoma wenyewe na kuelewa, kama nilivyosema, maarifa na ujuzi wao wa dini utakuwa haukui na hivyo kupelekea kuwa wabishi katika kujadiliana nao.
 
ukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini

kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.

ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.

ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi
Ukweli mkuu,dar nzima wameiuza wakisubiri pepo ya FIRDAUS
 
Back
Top Bottom