Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Huo sio uelewa mdogo, ndo uelewa sahihi.
Ongezea hao wanaofuga madevu na kujitanda ninja ukipanda nao basi moja hawachelewi kujilipua, kingine wanapenda ngono sana kuoa vitoto under 18, wana roho mbaya, wanashirikiana na majini mapepo
 
Hii inatokea pande zote mimi nimekulia kwenye uislam nikaja kuwa mkatoliki naona kila pande wanashutumu wenzao kwa vitu wasivyovijua …kuna wakatoliki wanaamini masheikh wanafuga majini na kuna waislamu wanaamini wakatoliki wanaabudu sanamu wote wanakosea
 
Huo sio uelewa mdogo, ndo uelewa sahihi.
Ongezea hao wanaofuga madevu na kujitanda ninja ukipanda nao basi moja hawachelewi kujilipua, kingine wanapenda ngono sana kuoa vitoto under 18, wana roho mbaya, wanashirikiana na majini mapepo
Lini kuna aliejilipua tanzania ?
 
Kijijin kwetu huku usukuman ukisema kuwa wewe ni mwisilam watakushangaa sana na mara zote watajua kuwa wewe ni mchawi au mganga wa kienyeji

Huku kwetu hakuna waislam kabisa waislam mimi nimekuja kuwakuta huku mjini
Usukumani sehemu gani wilaya na kijiji gani kwenu, huenda unaishi mbuga za wanyama, hamna kijiji usulumami kisio kua namskiti.
 
Uko sahihi ila kuhusu majini pia wako sahihi
 
Ubalikiwe sana mtumish kwa kukimbia hiyo dini moton ndo ilikuwa sehemu yako

YESU ni mwema
 
Hayo yote ni sehemu ya mafundisho Yao Ili waendelee kuwa misukule ya kikristo lazima wamezeshwe kuwa Uislam ni kitu kibaya

Hata kitabu Cha Quran waliambiwa wasikishike ni kitabu Cha majini maana walijua wakikisoma wataujua ukweli
 
Ukweli ni kwamba Uislam unaambatana na itikadi flani hivi ambazo zinautata, nadhani shida inaanzia kwenye mafundisho ambapo asilimia kubwa ya wanawafundisha watoto madrasa kipindi cha nyuma walikua wana chuki dhidi ya makafili na hata mafundisho yalikuwa yakifundishwa kwa mihemko na hisia kali za chuki.

Hao watu sio bahati mbaya kua na mtizamo huo dhidi ya Uislam bali Uislam unastahili kuchukuliwa hivyo kwasababu ndio hali halisi
 
True! Been growing up najua ukipita karibu na msikiti usiku lazima ukutane na majini[emoji58]
 
Asante kwa kuprove point ya mleta mada.
 
And yet Tanzania miji yetu ndio mnakuja Kutafuta pesa, Zanzibar, Dar na mikoa mingi tu ya Pwani ila kote huko mnaishi kwa amani
 
Moderators wa humu mna roho mbaya sana tukiposti sisi kuhusu dini mnafuta ila akiposti mwingine mnaacha sijawai kuposti kuhusu dini ila niliposti kuhusu technology mkafuta why..!?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…