Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Haya maneno ungewambia wagaratia wenzio ungeonekana una akili sana maana ndo waendeshaji wakuu wa mijadala ya kashifa dhidi ya waisilam.
Nimesema nilichosema na ujumbe umefika. Hiyo mitazamo ya aidha nina akili au sina, nimekuachia wewe uchambue
 
Hapo umeongelea kanda ya kaskazini na nyanda za juu kusini naomba nikuulize swali kati ya kanda uliyoongelea na visiwani na pwani wapi kuna ushirikina nasubiri majibu Sheikh wangu. Kuwa sheikh wa msikiti hakuitaji elimu au kusoma theology ni nguvu zako za kukitumia kitabu vizuri. Waliosoma Cuba washanielewa.
Sasa mbona mikoa iliyo jaa wagaratia ndo imejaa mauaji yanayo husishwa na ushirikina?
 
Huku ruvuma nenda sehemu inayoitwa mbinga, vijiji vya huko kukuta muislamu ni ngumu Sana.

Wao wanaamini nchi yote iko hivyo kumbe Kuna sehemu waislamu ni majority

Huku ruvuma nenda sehemu inayoitwa mbinga, vijiji vya huko kukuta muislamu ni ngumu Sana.

Wao wanaamini nchi yote iko hivyo kumbe Kuna sehemu waislamu ni majority
Ao ndo wamechelewa parefu,wape pore sana
 
Kinachosumbua wengi wenu ni neno "mapepo" hiyo "ma" ndiyi imejenga taswira ya ubaya akilini mwa watu sababu kimsingi "ma" imetumika kama kivumishi cha ubaya. Kimsingi ni mapepo ambalo limetokana na kiingereza "good spirits" or "Benevolent spirits"
Wewe tutasumbuana nakuuliza hivi unajibu vile uwe na wakati mwema kiongozi
 
Nimesema nilichosema na ujumbe umefika. Hiyo mitazamo ya aidha nina akili au sina, nimekuachia wewe uchambue
Hakuna ujumbe wowote ulio utoa badala yake ni reaction dhidi comments ya huyo mshikaji.
Huwezi kutoa ujumbe kwa kuchukia kejeli dhidi ya wakristo wenzio alafu wakati huo una furahia kejeli dhidi ya waisilam.
 
Hata hiyo jamuhuri ardhi sio mali yake bali bali ardhi ni mali ya Mungu.
Mm nime mjibu kutokana na comment yake inayo sema eti waisilam ni jamii ngumu kuishi nayo alafu wakati huo nyinyi mmejazana kwenye mikoa ambayo wenyeji wake ni waisilam baada ya kukimbia njaa kwenye mikoa yenu.
Kama unaelewa ardhi ni mali ya Mungu then sina shaka unajua pia viumbe vyote ni vya Mungu so hakuna kiumbe chenye mamlaka ya kusema ”mkoa huu tumejazana sisi akina fulani” kama ulivyosema hapo juu kwenye bold.

Unaposema wenyeji ni waislam unataka kusema hakuna mkristo Buddha atheist etc ktk hiyo mikoa?inaweza ikawa jamii ngumu kuishi nayo (kwa mtizamo wake) kama akawa ni mmoja wa walioonja joto ya jiwe ya dini.
 
Hata ukiwa na jina lako la kiasili unatambuliwa!

Mbona bado ubini wao wa asili watu bado wanao?

Isipokuwa katika uislam kama una jina lenye maana mbaya haifai kujiita kwa sababu kwa imani ya kiislamu majina ni dua/maombi, hivyo yanaumba.

Ukiwa na jina lenye maana mbaya unaruhusiwa kubadili jina lako na kujiita jina lenye maana nzuri.

Umewahi sikia au kuona muislam anaitwa masanja magesa magalya?
 
Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza

Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.

Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.

Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12

Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini

Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.

Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.

Waislam na majíni ni ndugu.

Dini ya Majini ni uislamu.
Shetani pia ni Muislam .

Iko hivi , waislam wanafundishwa kubwa ndugu wa muislam ni muislam mwenzake .
if A= B and B= C then A= C .

Kwa hiyo Majini ni ndugu ya waislam maana majini na shetwani walisilimu na kuwa waislam. Ndiyo maana shetani ana Sigda usoni kama ndugu zake.

Hakuna mkristo anayeshangaa majini wala ndugu zake labda tu wanayakemea .
Kwanza wakristo hawana mambo ya kuendekeza dini kama mtu ni mstarabu na mambo yake hata kama ni mchawi . Kushangaa mtu aliyepata rangi kwenye ndevu ni kawaida tu kama watu wanavyowashangaa Wamasai wanaovaa Rubega .

Kwa Muislam kufuga majini badala ya kufuga ng'ombe ni kawaida maana ndugu wa muislam ni mwislam .
 
Nimeishi sana Uzaramoni, Uziguani , Undengerekoni na sehemu kubwa ya mikoa ya pwani, akipita shehe mbele ya halaiki ya watu , wao husemeza.. HUYU SIO WAKUCHEZEA AKIKUAMULIA JUA HALICHWI...sasa kwa kauli hizo unautofautisha uislamu, waislamu na uchawi ?
Jamii hizo hata bila ya dini wana mambo yao ambayo wameyakumbatia mfano:

Uzaramoni bado wanacheza watoto!

Hii hali nayo unataka kusema ni ya kidini?
 
Hakuna ujumbe wowote ulio utoa badala yake ni reaction dhidi comments ya huyo mshikaji.
Huwezi kutoa ujumbe kwa kuchukia kejeli dhidi ya wakristo wenzio alafu wakati huo una furahia kejeli dhidi ya waisilam.
Niliongea na mtu ambaye nimemuona anachochea hizo chuki. Angekuwa ni mkristu pia ningemuambia kwa sababu nachukia udini pasipo kujali ni anauanzisha

Ila ulichooona ni kile ulichotaka kutafsiri kwamba nipo kwenye mpambano wenu ilhali mimi nilicomment kwa mtu ninaemuona mara kwa mara akichochea
 
Dini ya Majini ni uislamu.
Shetani pia ni Muislam .
Ni maneno mazuri sana, ila tusaidie ushahidi tafadhali!
Ndiyo maana shetani ana Sigda usoni kama ndugu zazake
Maneno haya pia ni mazuri sana, ila ukitusaidia ushahidi itakuwa ni bora zaidi Mkuu, na itakuwa umetufungua wengi sana!

Kwa Muislam kufuga majini badala ya kufuga ng'ombe ni kawaida maana ndugu wa muislam ni mwislam
Na hapa pia tusaidie ushahidi tafadhali ili tuendelee kuelimishana.
 
Hii vita ya udini bado mbichi sana...
Mshindi sijui atapatikana lini
 
Acha panic kwani huko Marekani na Ulaya unapo sema wameendelea hakuna masikini?
Utajiri wa hao matajiri hauna manufaa kwa waisilam tu bali kwa waTz wote akiwemo ww maana wao ndo walipa kodi wakubwa wanao ifanya serikali yako iweze kuiendesha nchi yako.

Nyinyi si huwa mnashinda humu mnatamba ya kuwa mmesoma na mna akili na waisilam ni vilaza hawana elimu, lakini cha kushangaza hamtumii elimu yenu mnayo jitapa nayo kuifanya nchi iendelee badala yake waisilam wasio kuwa na elimu ndo wanajitutua kuanzisha viwanda, makampuni, kuwekeza kwenye michezo, wakati nyinyi wasomi mpo tu kazi yenu kufanya uchawa ili muendeshe maisha yenu.

Kila siku kuanzisha nyuzi mara waisilam hawana elimu ,mara masikini , lakini cha kushangaza kwa mujibu wa takwimu za serikali kati ya mikoa 10 iliyo jaa umasikini ulio kithiri 7 ni mikoa walipo jazana wagaratia, mikoa iliyo jaa utapiamlo kwa sababu ya njaa yote ni ile iliyo jaa wagaratia.

Bro unajuaje kama wale waislam matajiri hawamo humu. Kina Elon woote wamo kwenye social media.

Kwa ujumla hoja ya msingi hapa ni uislam kuwa chini ya kivuli cha uarabu. Hakuna namna ya kutenganisha hivyo vitu viwili.
 
Nimeshawahi kumuona mmasai muislam na anatumia jina lake hilohilo la kimasai!

Hayo ni maendelezo makubwa sana. Pengine baadaye adhana itaitwa kwa kiswahili. Endeleeni hivyo hivyo ili kuuhuisha uislam. Maana kuganda kwenye lugha moja, kutaufanya uislam kufa
 
Nadhani hujui unachokiongea,kwani majina kama Neema Baraka Faraja Tumaini tukiyataja kwa uchache hawabatizwi Wakristo?

Hata kwa waislam hapo umekosea (japo sina uhakika) nina jamaa zangu Amini,Imani,Baraka hawa unasemaje siyo waislam wakati wana-practice islam?
Mkuu ndugu yangu alibatizwa wakati huo ana jina la kikabila yani jina la Asili yetu sisi ambayo sehemu nyingine ya Dunia hayapo, lakini akaambiwa achague jina jingine akachagua Leonard, We unajua kama Jamii nyingine au Baadhi ya Makabila wanawapa watoto majina mwawili Moja la kidini na lingine la Asili?, We Kwa majina hayo uliyoyataja ya Imani, Baraka Amini haya ni Majina ya Asili ya wapi yani ni ya kikabila ? We inawezekana Muhaya Mume na mke wazae mtoto wamuite jina Marwa??
 
Nadhani hujui unachokiongea,kwani majina kama Neema Baraka Faraja Tumaini tukiyataja kwa uchache hawabatizwi Wakristo?

Hata kwa waislam hapo umekosea (japo sina uhakika) nina jamaa zangu Amini,Imani,Baraka hawa unasemaje siyo waislam wakati wana-practice islam?
Hizi Dini zimekuja kufuta Majina yetu ya Asili tokea enzi na enzi.
 
Back
Top Bottom