Acha panic kwani huko Marekani na Ulaya unapo sema wameendelea hakuna masikini?
Utajiri wa hao matajiri hauna manufaa kwa waisilam tu bali kwa waTz wote akiwemo ww maana wao ndo walipa kodi wakubwa wanao ifanya serikali yako iweze kuiendesha nchi yako.
Nyinyi si huwa mnashinda humu mnatamba ya kuwa mmesoma na mna akili na waisilam ni vilaza hawana elimu, lakini cha kushangaza hamtumii elimu yenu mnayo jitapa nayo kuifanya nchi iendelee badala yake waisilam wasio kuwa na elimu ndo wanajitutua kuanzisha viwanda, makampuni, kuwekeza kwenye michezo, wakati nyinyi wasomi mpo tu kazi yenu kufanya uchawa ili muendeshe maisha yenu.
Kila siku kuanzisha nyuzi mara waisilam hawana elimu ,mara masikini , lakini cha kushangaza kwa mujibu wa takwimu za serikali kati ya mikoa 10 iliyo jaa umasikini ulio kithiri 7 ni mikoa walipo jazana wagaratia, mikoa iliyo jaa utapiamlo kwa sababu ya njaa yote ni ile iliyo jaa wagaratia.