Wakristo wanaoishi Zanzibar nawashauri kufanya hivi kipindi Ramadhan

Hayo siyo mafundiyo ya muhammad wala siyo hekima ya uislamu kama unabisha niambie nikujie na ushahidi ndani ya msahafu
 
Wajue kabisa huko kumejaa Waisilamu na huwa hawapendi kutamanishwa chakula wao wakiwa na njaa. So wasidhani watabaki salama. Waisilamu huwa wanatandika bakora,mawe au kuwakata vichwa watu ambao si wa imani yao wanapotaka ishi maisha yao. Waelewe hayo hatutaki lawama wameshaonywa tayari. Wasidhani zanzibar ni bara.
 
Wewe jana si ulitoa bandiko la kuondoka JF?
 
Scriptures za kwenye bible mnazitumia kuwafavour
 
Kukatwa kichwa hizo ni propaganda za wakiristo wenye msimamo mkali kama wewe. Hajawahi kukatwa kichwa mtu, hizo ni propaganda zako tu. Waislam watu wenye amani sana tofauti na wengine. Angalia Drc sasa huko akina M23
 
Watu wanachezea sana bakora kipindi hiki

Ova
Wanaoishi huko wanasema sio sana, wengi wanafata maadili, wapo wachache wenye ubishi kama wa chadema na ccm, wanasahsu ktk dini hakuna demokrasia bali kuna sheria
 
Zanzibar wakisikia harufu ya chakula wanavunja mlango kuja kuwatia bakora

Lakini huu mwezi si unaitwa wa toba kati yako na Mungu wako hio nguvu ya kushika bakora na kuhumu wengine wanaitoa wapi.

Ndo maana huwa nao Zanzibar hakuna dini ila Kuna kundi kubwa la wahuni wanaofanya maigizo ya Uislam
 
Ukivunjika muungano waanze kujitegemea, hayo masharti yote hayatakuwepo. Sasa hivi wana ishi bure, hawalipi KODI, bei za umeme, maji, mafuta zipo chini kuliko Tanganyika, siku muungano umevunjika na wakaanza kujitegemea hutasikia hayo majadiriano. Jeuri yote hi ni kwasababu ya Tanganyika
 
Kwani we ukifunga nami nikila kuna shida gani mkuu?
 
Kama umefunga alafu ukiona mtu anakula unapata kero jua haujafunga kwa kudhamiria bali unamchora Mungu wako..
Mbaya zaidi unakuta umeamka asubuhi ukala πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukiwa umevaa nguo halafu akapita mtu yuko uchi wa mnyama ukimshangaa utakuwa na wewe hujavaa nguo
 
Waislam muache kutuonea sisi wakristo hatujazoea kufunga hata kwaresma yetu yenyewe huwa hatuachi kula sasa kwanini mnataka kutuua na njaa? Kwenye kwaresma huwa tunaambiwa tuchague chakula kimoja cha kuacha kula mi huwa nafunga kula makande siku 40 ila vingine tunaruhusiwa kula kama mchwa kwahiyo mtuache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…