M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 2,818
- 8,465
Vipi kuhusu kuchapwa bakora, yaani ukitaka kula mpaka ujifiche chimbo kali usionekane?Kukatwa kichwa hizo ni propaganda za wakiristo wenye msimamo mkali kama wewe. Hajawahi kukatwa kichwa mtu, hizo ni propaganda zako tu. Waislam watu wenye amani sana tofauti na wengine. Angalia Drc sasa huko akina M23
Mfungo wa kweli ni ule wa kuruhusu majaribu na kuyashinda. Yani unatoa usiku, halafu unaanzaje kuushindanisha na mchana?Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
Hivi Kuna uwezekano wa kufunga na kutamani kula ukiona chakula?Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
propaganda??????? mbona hili linafahamika toka miaka ya Mohamed ni kuuua tu. Hao M23 wanapigania imani? suala la waisilamu kukata vichwa wasio waisilamu ni sunna.....hili linafahamika dunia nzima inafahamu dini ya machafuko ni uislamu .... unazungumzia m23? nenda Yemen, Syria, Sudan, Somalia, M23 haqajihusishi na Imani wanapigana kisiasa. na huko huko Congo kuna Wakiristo zaidi ya 20 walilatwa vichwa kanisani na Waisilamu . ni kawaida kwa hali hiyo kufanywa na waisilamu. nioneshe mstari katika Qurani ambao allah anasema anawapenda watu wake. so Wakristo huko Zanzibar wawe makini watachapwa viboko, kupigwa au kumwagiwa tindi kali kama yule padre. ni kawaida kwa DINI yetu ya KIIslamu haya majanga yapo sana ndo ilivyo imani yetuKukatwa kichwa hizo ni propaganda za wakiristo wenye msimamo mkali kama wewe. Hajawahi kukatwa kichwa mtu, hizo ni propaganda zako tu. Waislam watu wenye amani sana tofauti na wengine. Angalia Drc sasa huko akina M23
Uisilamu HAIJAWAHI KUWA DINI YA AMANI. NI YA MAUAJI TOKA INAANZISHWA NA MWANZILISHI WAKE. ALIUA, ALIPORA WANAWAKE, ALIPORA MALI, ALITEKA MALI. HAIJAWAHI NA HAITAWAHI KUWA DINI YA AMANI. HATA SIKU MOJA. MSOME TU MUDDY UTAMWONA. AMEUA SANA. AMEOA KITOTO CHA MIAKA 6. AMEPORA SANA.Kukatwa kichwa hizo ni propaganda za wakiristo wenye msimamo mkali kama wewe. Hajawahi kukatwa kichwa mtu, hizo ni propaganda zako tu. Waislam watu wenye amani sana tofauti na wengine. Angalia Drc sasa huko akina M23
Kwahyo tukusaidiaje ankoli?Uisilamu HAIJAWAHI KUWA DINI YA AMANI. NI YA MAUAJI TOKA INAANZISHWA NA MWANZILISHI WAKE. ALIUA, ALIPORA WANAWAKE, ALIPORA MALI, ALITEKA MALI. HAIJAWAHI NA HAITAWAHI KUWA DINI YA AMANI. HATA SIKU MOJA. MSOME TU MUDDY UTAMWONA. AMEUA SANA. AMEOA KITOTO CHA MIAKA 6. AMEPORA SANA.
View attachment 3254951
Tumbo ni kama mboo tu likiona msosi lina dindaHivi Kuna uwezekano wa kufunga na kutamani kula ukiona chakula?
Kwa nini wapagani wa Kiarab wa Makkah walifunga kabla ya ujio wa Uislam?Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
Punguza ushauri kijanaMfungo wa kweli ni ule wa kuruhusu majaribu na kuyashinda. Yani unatoa usiku, halafu unaanzaje kuushindanisha na mchana?
Wakumbushe vizuri, ànayetakiwa kujificha sana wakati wa kula mwezi huu Ramadan ni muislam asiyefunga. Maana ukifanikiwa kumuona mkristo anakula mchana ndani yà mwezi huu huwezi kuona ajabu. Ila ukifanikiwa kumuona muislam anakula mchana wa Ramadan utamshangaa sana.Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
Na kwaresima inaanza, kama wana nia ya kufunga basi hakuna atakayemkwaza mwenzie.Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
Teueni mtu wa kunipikia dakuKwahyo tukusaidiaje ankoli?
Tukutongozee??Teuni mtu wa kunipikia daku
Well saidHayo siyo mafundiyo ya muhammad wala siyo hekima ya uislamu kama unabisha niambie nikujie na ushahidi ndani ya msahafu
Nitumieni namba ya simu nioe haraka haraka mtoto mkali awe anajua kupika daku na futari.Tukutongozee??
Nitumieni namba ya simu nioe haraka haraka mtoto mkali awe anajua kupika daku na futari.
Wewe utakuwa unaumwa chekelea tu sioni cha kuchekesha hapoYani Zanzibar kunachekesha sana, unakuta duka limefunguliwa, lakini ukiomba uuziwe soda wanakataa mpaka ifike jioni.
Bakora Zenji nizakufikia tu wakati wa Ramadhani,