Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Kama siyo comedy ni nini? Kwanini ufungue duka asubuhi halafu bidhaa uuze jioni? Cha kushangaza, ukinunua soda zaidi ya tano wanakubali kuuza. Kisingizio eti wanaamini ni za kunywa jioni wakati wa futari. Akili za hawa wazee wa kizanzibar wanatoa maskaniWewe utakuwa unaumwa chekelea tu sioni cha kuchekesha hapo
Vipi kuhusu watalii?
Huko ni kuingilia mipaka ya mtu , kama yeye kaamua kula na hausiki na dini hiyo ni uamuzi wake tu,Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
Useless 🚮🚮🚮Wajue kabisa huko kumejaa Waisilamu na huwa hawapendi kutamanishwa chakula wao wakiwa na njaa. So wasidhani watabaki salama. Waisilamu huwa wanatandika bakora,mawe au kuwakata vichwa watu ambao si wa imani yao wanapotaka ishi maisha yao. Waelewe hayo hatutaki lawama wameshaonywa tayari. Wasidhani zanzibar ni bara.
Nakuwa busy sana kuwafuatilia. Ukizingatia muda mwingi nakuwa nje ya nchi.Na namba za simu tukuombee sisi??
Madem unawaonea aibu??
Certified nincompoopUseless 🚮🚮🚮
Aha kula Hizo hizo za abroad mkuuNakuwa busy sana kuwafuatilia. Ukizingatia muda mwingi nakuwa nje ya nchi.
Ile ya Zanzibar ni ujinga tena wa kujitakia. Unakataza watu wasile hapo hapo unalilia watalii kuja kwenu kushuhudia ujinga wenu. mambo haya ya kijinga waachieni wenyewe waarab nyie wabantu hayawahusu.Nawashauri wasile mchana sehemu za wazi, wajifungie ndani wakitaka kula au kunywa. Asieweza kufanya hivyo aje Tanganyika ale atakavyo.
Zanzibar kuna bakora isio rasmi na kuna mahabusu kwa makosa haya, jiepushe nayo.
Huwezi kwenda marekani ukataka kuharibu mila zao.
Kuna msemo kwamba Ikulu ya wananchi lkn sio kila mwananchi ni ikulu.
Ukumbosho.
Petro 1:12-13
"Kwa hiyo, hata mimi nikiishi miongoni mwenu, nitatamani kuwakumbusha mambo haya mara kwa mara, ingawa mkiwa mmeyajua na imara katika kweli iliyo kwenu."
Petro anasisitiza umuhimu wa kumkumbusha muumini kuhusu ukweli wa imani, hata kama wanajua hayo tayari, ili wasisahau.
Ramadhani njema kesho inshallah
huo ni wendawazimu, kwa hali hiyo umasikini utatokaje? Unafunga hotel eti ili upate thawabu unaacha kuuzia watu bidhaa upate fedha unasubiri jionimbona huwa wanatii sheria, mabeberu sio wasumbufu, na ndio mana utalii mwezi wa mfungo huwa unashuka sana wengi huwa hawaji, hata kuna baadhi ya mahoteli huwa yanafungwa kaisa