Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

1. Aliye kuambia wakristo inawaombea wa Isreal waipige palestinans ni nani ??? 😠😠.

2. Je wewe unaakili/siyo mpumbavu unaye iombea Palestina iwapige Wa Israeli ??? 🤔🤔.
Kuna watu wanaongozwa na ukristo na siyo roho mtakatifu 🙏
Hakika, wamejaa tele makanisani
 
1. Aliye kuambia wakristo inawaombea wa Isreal waipige palestinans ni nani ??? 😠😠.
Leo makanisa mengi yamefanya ibada ya kuiombea Israel ushindi, na #⃣ hash tag ilikuwa Pray for Israel 🇮🇱.
2. Je wewe unaakili/siyo mpumbavu unaye iombea Palestina iwapige Wa Israeli ??? 🤔🤔.
Sijaiombea Palestina iwaue Wayahudi, nimeombea amani Mashariki ya Kati
 
Point
 
Ni sahihi. Kwanza ni kujipendekeza.
Wakristo watanakiwa kuwaombea waisrael imjue Yesu, watapotea wakiendelea kuamini Yesu hajaja.
Kwamba wayahudi hawatauona ufalme wa mbuguni kama hawajamjua Yesu?
 
Uko sahihi Bujibuji,
Ni juzi tu hapa video zimesambaa mtandaoni wayahudi wanawatemea mate wakristo katika mwezi wa rozari.
 
tunachotakiwa kuombea ni amani ya Jerusalem na ushindi kwa Israel.
 
Kwani nini umebagua hapo🤔
 
Hakuna maana kwenda kushabikia watu wakiuana eti kisa wewe ni mkristo au muislamu.
Haitakuwa na maana wewe kuitwa huyo muislamu au mkristo.
Leo unashabikia watu wauwane huko palestina na israeli ungali kuna wa Tanzania wa kristo na waislamu walioko huko kwa sababu mbalimbali ikiwemo masomo.

Haina maana kushabikia watu wauwane ikiwa kuna watoto wadogo wasio na hatia na wasiutambua ubaya wala uzuri.
Usahihi na ukamilifu wa dini na imani zetu ni juu yake Mungu.

Let us pray for the world peace.
Let us pray for the world peace
 
Ubarikiwe kwa ufafanuzi mzuri.
 
Mambo ya dini na Iman za Mungu zimeshaleta machafuko na mauaji makubwa duniani , alafu anatokea mlughalugha mmoja kashiba mihogo huko anakuambia Mungu tupo na ni mwenye upendo [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…