Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

Huku africa tukiwa na shida huwa wanatuombea,acha kujipendekeza
 
Asante
 
Angalau huko mashariki ya kati huwa panatulia hata miaka mitatu minne kwa nchi kama Congo,Somalia na Djibout ni risasi na mizinga kilasiku hao wanafaa zaidi kuombewa.
 
Swala la Israel na palestina tunalitazama kulingana na Dini zetu.

Wakristo hawawesi ona ubaya na ukatili wa Israeli kwa vile wa naamini ni Taifa Teule la Mungu.

Kadhalika Waislam hawawezi kuona ubaya wa palestina sababu wanaona palestina ni Ndugu zao na wanaonewa
 
Huu ndio ukweli wenyewe ,hao jamaa ndio walifaa waitwe magaidi
Ugaidi ni matendo. Kama USA wanafanya vitendo vya ugaidi, wanastahili kuitwa magaidi. Kama USA hawafanyi vitendo vya ugaidi, hawastahili kuitwa magaidi. Huwezi kumuita mtu gaidi kwa tafsiri yako binafsi wakati hafanyi vitendo vya ugaidi. Pia huwezi kuzuia mtu asiitwe gaidi kwa tafsiri yako binafsi wakati anafanya vitendo vya ugaidi
 
Unawezaje kuomba amani haliyakuwa jirani yako alali kwa sababu ya ila zako[emoji12][emoji12]
 
Kuna mandezi wengi wanafikiri kuwa Israel ni nchi ya kikristo. Hawajui kuwa ukristo hautambuliki ndani ya Israel na ndo maana akikutwa mtu anahubiri kuhusu Yesu na ukristo anauliwa na wenye nchi Yao (Wayahudi). Tafuteni elimu ili muelewe Dunia ilivyo, hata kwa ku-google.
 
Wao Wanachojua ni Simba na Yanga- kwa upande wa vijana wa kiume and Mange Kimambe -kwa wasichana
 
wakristo wepi? Wale wanaofata wazungu wa Vatikano au Uingereza au Ujerumani au USA?
 
Watu wajali utu, pande zote mbili ziwe na utu!
Haile Selasi alisema popote penye matabaka, ya huyu bora kuliko mwingine kutakuwa na vita!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Amani dunia hii haiwezi patikana
Ilisema biblia yenyewe. Kuwa nyakati za mwisho dunia haitakuwa na amani, na hi imewekwa kama ishara kwa wakristo halisi
Sasa kuombea amani nikupingana na biblia maana Mungu hawezi kupingana na neno lake mwenyewe alilolisema
 

Wacha kujiaminisha ujinga kijana, masuala ya Mashariki Ya Kati hayatuhusu kamwe, wenyewe wanajuwa kwanini wanauana, Mungu wao anawaona.
 
Hapo mashariki ya kati ndipo dunia ilipoanzia na hao ni watoto wa baba mkubwa na mdogo ni ugomvi wa ndugu

Sent using Jamii Forums mobile app

Huu ujinga umeutoa wapi? Timeline ya historia yao hapa duniani is about 6,000 years old, sisi Waafrika tupo hapa duniani zaidi ya miaka 250,000, bila wewe hakuna cha Myahudi wala Mwarab. Msipende kujiaminisha ujinga, this is what religion makes people - STUPID.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…