Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Habarini Wadau,
Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika Wasomi wakubwa wa Dini ya Kiislam kutoka pande mbalimbali duniani ikiwepo Europe,
Miongoni mwa Wahudhuriaji niliwaona WAKRISTO kadhaa ninaowafahamu, wakiwepo Wanachuo sio chini ya 20 wa UDSM
Hali kadhalika, leo katika Tamasha la Shindano lao la Usomaji wa Quran kwa Wanawake tu walikuwepo pia Wakristo, na nimemwona kiongozi mmoja wa Dini ya Kikristo na Notebook yake
SWALI LANGU, hivi hawa Wakristo na Ukafiri wao hauathiri chochote katika Uislam? Hawaitwi Makafiri? Waislam wakiswali au wakifanya taratibu zao...hao Wakristo wanafanya nini au wanatazama matukio kama movie tu?
Wabillah Tawfiq,