Wakristo wengi kuhudhuria Mikutano na Hafla za Waislam / Kiislam

sisi ma Budha,Hindu,zoroaster,Jain,Tao,Shinto,Rasfa Afari,Druze tusiomjua YESU wala mtume MOHAMED tu comment wapi? maana hata sisi ni binadamu tunapumua,tuna nyama na damu na tuna maendeleo makubwa baadhi yetu.
Nimeamua kuandika hiyo mistari makusudi kabisa kuwa asa watu waache malumbano ya dini hakuna anayejua aliyesahihi zaidi ni nani?
Hii dunia yetu tunayoiita Earth dhidi ya sayari na nyota zingine ni ndogo kama kapunje ka ulezi.
Kikubwa namtambua MUNGU hizi dini ni kama vyama vya siasa CCM,CHADEMA,NCCR,CUF,NLD,ACT

Nyie mtabaki kama wapiga kura tu .

Tutawatawala siku ya mwisho kwenye ulimwengu mpya na hata sasa katika ulimwengu wa kiroho tunawatawala .

Yeshua Mwana wa Mungu alikuja kuleta ufalme wa Mungu sio maendeleo ya barabara na majengo marefu yasiyo hata na hewa nzuri ya oksijeni ya asili .
Haya unayoyaita maendeleo ndio uharibifu mkubwa wa dunia na mazingira yake na uhai utapotea muda sio mrefu .
Tuseme tu ukweli dunia chini ya maendeleo haya haina miaka 300 mbele ikiwa na majira salama ya mvua ,jua na upepo ,mito na maji na hewa nzuri huku kizazi kikiendelea.
Tafalari vizuri mkuu.

Mimi sizungumzii dini.
Dini za uislam ,ukatoliki ,uluteri,upentekost , uislam ,ubudha ,uhindu n.k. ni kazi ya Shehetani kuwaswaga watu kwenda jehanam na kuwafanya watumwa wake wasiojitambua .

Yeshua Masihi alileta ufalme wa Mungu duniani kwani mpango wa kumuumba binadamu ulilenga kutawala hii dunia akitokea peponi. Yaaani ikulu ilikua peponi.

Shetani ndiye aliyekua ana dini yake ya kusujudu kila saa mpaka akawa na sigda usoni .
Yeshua au Yesu ninayemfuata hakuleta dini mana dini hazitoki kwa Mungu ndio maana zimekua chanzo cha chuki , vita ,mauaji na utapeli huku wengine wakineemeka.
 
Naomba ufafanuzi hapa, mnaenda kurithi ufalme wa Mungu, Ina maana Mungu ataachia ufalme wake au atafariki ili muweze kurithi ufalme wa Mungu. Na pia inamaana Mungu atachoka au ataamua kuwaachia ufalme wake mtawale nyie au vipi!!!??? Na huyo ni Mungu gani atawaachia nyinyi murithi ufalme wake, aliwaahidi lini suala hili? Ni Mungu Baba, Mwana au Roho mtakatifu au ni Mungu gani atachoka au kufariki ili nyinyi muweze kurithi ufalme wake?
Nauliza haya sababu huwezi kurithi kitu, bila mwenye nacho kukuachia kwa kuchoka, muda wake wa umiliki kuisha, au kufariki. Naomba ufafanuzi 1000 digits

Mungu muumbaji wa vitu vyote na asili ya vitu vyote ni mkuu mno.
Yaani mimi na Mungu baba muumba wa vyote ni sawa na Rais na mwenyekiti wa serikali za mitaa.
Mungu ana matrilion na matrilioni ya viumbe vinavyomtegemea na kumtumaini katika asili yake kama watoto wake mana yeye ni mlezi na baba wa vyote. Walioasi walelkataa Mungu kuwa yeye sio mtawala wao wala baba kwao.

Sasa sisi chini ya Mwana Masihi Yesu au Yeshua tumepata rehema tu ya kutawala kwa sehemu tu katika ufalme wake ambao ni mkubwa sana.
mfano nyie waasi mliomkata Mungu wa kweli mnatawala dunia kwa amri ya nani ?Au nani mmemrithi ?Je,Mungu hajawapa sehemu mtawale na mn
 
Naomba ufafanuzi hapa, mnaenda kurithi ufalme wa Mungu, Ina maana Mungu ataachia ufalme wake au atafariki ili muweze kurithi ufalme wa Mungu. Na pia inamaana Mungu atachoka au ataamua kuwaachia ufalme wake mtawale nyie au vipi!!!??? Na huyo ni Mungu gani atawaachia nyinyi murithi ufalme wake, aliwaahidi lini suala hili? Ni Mungu Baba, Mwana au Roho mtakatifu au ni Mungu gani atachoka au kufariki ili nyinyi muweze kurithi ufalme wake?
Nauliza haya sababu huwezi kurithi kitu, bila mwenye nacho kukuachia kwa kuchoka, muda wake wa umiliki kuisha, au kufariki. Naomba ufafanuzi 1000 digits

Mungu muumbaji wa vitu vyote na asili ya vitu vyote ni mkuu mno.
Yaani mimi na Mungu baba muumba wa vyote ni sawa na Rais na mwenyekiti wa serikali za mitaa.
Mungu ana matrilion na matrilioni ya viumbe vinavyomtegemea na kumtumaini katika asili yake kama watoto wake mana yeye ni mlezi na baba wa vyote. Walioasi walelkataa Mungu kuwa yeye sio mtawala wao wala baba kwao.

Sasa sisi chini ya Mwana Masihi Yesu au Yeshua tumepata rehema tu ya kutawala kwa sehemu tu katika ufalme wake ambao ni mkubwa sana.
mfano nyie waasi mliomkata Mungu wa kweli mnatawala dunia kwa amri ya nani ?Au nani mmemrithi ?Je,Mungu hajawapa sehemu mtawale na mnakua na mamlaka na enzi kama miungu , je,mnafikiri yametikea kwa bahati mbaya? Je, haljui kuwa Mungu alimtuma Masihi ili aje aratibu upya utawala wa dunia baada ya watu waovu kujipenyeza na kuwa wanafanya kazi ya shetani kumhujumu Mungu katika mpango wa kuumba binadam .

Mungu hafi mana ndiye asili ya uhai
 
Habarini Wadau,

Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika Wasomi wakubwa wa Dini ya Kiislam kutoka pande mbalimbali duniani ikiwepo Europe,

Miongoni mwa Wahudhuriaji niliwaona WAKRISTO kadhaa ninaowafahamu, wakiwepo Wanachuo sio chini ya 20 wa UDSM

Hali kadhalika, leo katika Tamasha la Shindano lao la Usomaji wa Quran kwa Wanawake tu walikuwepo pia Wakristo, na nimemwona kiongozi mmoja wa Dini ya Kikristo na Notebook yake

SWALI LANGU, hivi hawa Wakristo na Ukafiri wao hauathiri chochote katika Uislam? Hawaitwi Makafiri? Waislam wakiswali au wakifanya taratibu zao...hao Wakristo wanafanya nini au wanatazama matukio kama movie tu?

Wabillah Tawfiq,
Na wale wanaojazana kwa Mwamposa hadi Shehe Mazinde akajaa upepo na kuanza kiwashambulia huwa wanafuata nini kwenhe makongamano ya Kikristo?

Mi Mkristo, niloenda uwanja wa Taifa kuona wazigua wanakariri lugha ya mnyazi mungu asiyejua ligha nyingine zaidi ya kiarabu huku hawajui kusoma na kuandika hata mama kwa kiswahili.😀😃😄😁
 
Asiekua muislam haathiri chochote pindi anaposhiriki katika shughuli za waislam na inapendeza kuona wakishiriki.
Wala hakuna ibada yoyote inayoharibika kwa kuwepo kwao, labda ungetolea mfano ibada gani unazohisi zinaweza kuharibika
 
Naomba ufafanuzi hapa, mnaenda kurithi ufalme wa Mungu, Ina maana Mungu ataachia ufalme wake au atafariki ili muweze kurithi ufalme wa Mungu. Na pia inamaana Mungu atachoka au ataamua kuwaachia ufalme wake mtawale nyie au vipi!!!??? Na huyo ni Mungu gani atawaachia nyinyi murithi ufalme wake, aliwaahidi lini suala hili? Ni Mungu Baba, Mwana au Roho mtakatifu au ni Mungu gani atachoka au kufariki ili nyinyi muweze kurithi ufalme wake?
Nauliza haya sababu huwezi kurithi kitu, bila mwenye nacho kukuachia kwa kuchoka, muda wake wa umiliki kuisha, au kufariki. Naomba ufafanuzi 1000 digits
Kabla ya ufafanuzi kwa maswali hayo ya madrasa ambayo hata mwanangu wa Kindergarten 1 hawezi uliza swali kama hili?

Nami nikuulize ndugu yangu, kama Pombe ni haram kwanini allah amewaandalia mito ya Pombe? Pili mnaposema mtaenda kwenye pepo ambayo ipo katikati ya mapaja ya wanawake inamaanisha nini?

Swali la mwisho ustadhi wangu, kama mtapewa mabikira 72 weupe na wenye macho ya Gololi, je wake zenu ambao mmeshawazalisha wataenda wapi? Pili je wanawake weusi watakuwa wapi huko peponi kwenu? Na je wanawake watakuwa na faida gani kuingia katika pepo ya allah?
 
Asiekua muislam haathiri chochote pindi anaposhiriki katika shughuli za waislam na inapendeza kuona wakishiriki.
Wala hakuna ibada yoyote inayoharibika kwa kuwepo kwao, labda ungetolea mfano ibada gani unazohisi zinaweza kuharibika
Ibada ya "Jihad Sex" ambayo kikongwe FaizaFoxy ameenda kupambania kule kwa HAMAS inaweza kuharibika we kafiri 😀😃😄😁
 
Mimi siwezi kuwa kafiri maana naamini Mungu ni mmoja ambae ni muumba wa kila kitu hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anaefanana nae.
Kafiri ni wale wasioamini hayo.
 
Habarini Wadau,

Hiki ninachokiandika nina uhakika na Ushahidi nacho, Juzi...kama two weeks ago au mwezi kulikuwa na Tamasha kubwa sana la Kiislam lililohusisha Watu wa jinsia zote...na Walialika Wasomi wakubwa wa Dini ya Kiislam kutoka pande mbalimbali duniani ikiwepo Europe,

Miongoni mwa Wahudhuriaji niliwaona WAKRISTO kadhaa ninaowafahamu, wakiwepo Wanachuo sio chini ya 20 wa UDSM

Hali kadhalika, leo katika Tamasha la Shindano lao la Usomaji wa Quran kwa Wanawake tu walikuwepo pia Wakristo, na nimemwona kiongozi mmoja wa Dini ya Kikristo na Notebook yake

SWALI LANGU, hivi hawa Wakristo na Ukafiri wao hauathiri chochote katika Uislam? Hawaitwi Makafiri? Waislam wakiswali au wakifanya taratibu zao...hao Wakristo wanafanya nini au wanatazama matukio kama movie tu?

Wabillah Tawfiq,
Itakuwa wanafuata pisi kali, si unajua hayo maeneo ndiyo huwepi wale watoto geti kali wa kiarabu ambao mtaani kuwaona ni nadra
 
Mimi siwezi kuwa kafiri maana naamini Mungu ni mmoja ambae ni muumba wa kila kitu hajazaa wala hajazaliwa na hakuna anaefanana nae.
Kafiri ni wale wasioamini hayo.
Kwahiyo Mungu hafanani na kitu chochote? Quran inasemaje kuhusu allah kufanana na mwanadamu na kuwa na mguu mmoja na mikono miwili?

Acha kudanganya we kafiri au husomi quran na Hadithi?

Kutafuta hivyo vifungu uone vinasema kuhusu muonekano wa allah.
images-1.jpeg
 
Uchawa tu unawasumbua ila wanajikaza maana vitu vya kiislamu ukiwa Mkristo vinaboa
 
Waislam mngekua mnafata uislam kweli ni dini nzuri yenye mafunzo, ila wengi mmekua brainwashed. Mnawaza chuki na kujikweza
 
Kwahiyo Mungu hafanani na kitu chochote? Quran inasemaje kuhusu allah kufanana na mwanadamu na kuwa na mguu mmoja na mikono miwili?

Acha kudanganya we kafiri au husomi quran na Hadithi?

Kutafuta hivyo vifungu uone vinasema kuhusu muonekano wa allah.
View attachment 3084056
Sijasoma uliyoandika ni kupoteza muda kubishana na mtu aliekufuru(kafiri)
 
Sahihi usemalo

Nawe pia ni tatizo.
Kasome quran 6:108
kwa sasa huo ndio uislamu tunaotakiwa kuuishi!
وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّـهِ فَيَسُبُّوا اللَّـهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ ۗ كَذَٰلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَىٰ رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ ﴿١٠٨﴾

108. Na wala msiwatukane wale wanaowaomba asiyekuwa Allaah, wasije nao kumtukana Allaah kwa uadui bila ya ujuzi.[24] Hivyo ndivyo Tumewapambia kila ummah amali zao, kisha kwa Rabb wao Pekee yatakuwa marejeo yao, Atawajulisha yale waliyokuwa wakiyatenda.
 
Back
Top Bottom