Wakristo wengi kuhudhuria Mikutano na Hafla za Waislam / Kiislam

Wakristo wengi kuhudhuria Mikutano na Hafla za Waislam / Kiislam

Mkuu hujatoa Majibu ya kueleweka Kwenye hayo Maswali ila umekuja na maneno mengi yasio na mantiki ya swali.
Umenijumuisha kwa waliomkataa Mungu, sijui unamaanisha nin? Na sijui tunatawala Dunia gan? Ukiachana na familia yangu hakuna kingine ninachotawala. Hao waislam wanatawala nin hapa duniani?
Ni porojo tu ulizomezeshwa

Haya huwezi kuyaelewa klingana na roho dhaifu uliyo nayo.

Hata mbwa na paka wana roho .

Wanazaliwa wanaishi na wanakufa .
Ila hawawezi kumtawala binadamu na mazingira yanayowazunguka kwa sababu hawakupewa uwezo wa kutawala.

Kila mtu ni mtawala kuanzia mazingira yake mpaka akili yake na mwili wake mwenyewe.

Kama wewe hutawali chochote basi unamilikiwa na majini
 
Uislam ni dini na taratibu za maisha ya binadamu yaliyojaa harakati za kujaribu kujizuia na chuki ,visasi, tamaa, ubinafsi ,lawama, mapigano, uzushi, unafiki, uchawi, ushirikina na mambo yote yanayofanana na hayo.

Ukristo halisi ni Kundi la watu walioitwa na Mungu Mwenyewe ili waurithi ufalme wa Mungu.

Warithi wa ufalme ni wachache mana nafasi za utawala ni chache.

Wakrsto ndio watakao pewa nafasi ya utawala siku ya mwisho na sio vinginevyo . Wote waliomwamini Masihi Yeshua au Yesu kwa Lugha ya Kiwahili kama ilivyotafsiriwa na waislam wa Zanzibar miaka hiyo Ufalme wa Mungu ulipoanza kuingia Tanganyika na kuuangusha ufalme wa shetani na mapepo wa baya.

Yesu hakuja kuanzisha Dini bali ufalme mana shetani kama walivyo wafuasi wake alikua anaswali sana na mpaka leo hakuna Muislam zliyefikia kiwango cha kuswali alichofikia shetani. Sigda ya shetani hakuna mwislam aliyefikia ya yule shetwani. Hivyo shetwani na majini yote ni waislam na yanafuata dini ya kiislam.

Ila shetani na majini yote ni wapinzani wa Yeshua Masihi mana Shetani alifikiri kuwa kwa kuswali na kushika dini ya kiislam atapewa ufalme wa Mungu . Mungu akakataa kumpa ufalme mana haukuwekwa kwa ajili yake . Ndipo bifu la waislam na Wakristo lilipoanzia tangu kule Mbinguni na shetwan akatupwa duniani. Adamu naye alipomsikiliza shetani na dini yake pia akatupwa duniani .

Yesu akaja kumkomboa binadam ili arejee kwenye ufalme wa Mungu na sio ksenye dini mana Mungu hana dini kwa sababu haabudu wala hasujudu bali ni mtawala wa viumbe vyote .

Mwenye ufahamu wa Kiroho afunguke na kumtii Masihi Yeshua ili aurithi ufalme wa Mungu.

Anayetaka dini aende akaungane na Majini na Shetwan na waumini wake
" Shetwani na majini wote ni waislamu"

Nakubaliana nawe 100%
 
Je na wale rundo la waislam wanaokwenda kwa mwamposa na wengne kushuhudia waliyotendewa na YESU nao n nn knawaleta au ndo unafki wa dini ya wanafki islam? allah ndiye shetani.
 
Niwe mkweli. Msema kweli ni MPENZI wa Mungu. .Sijawahi kushuhudia ukianzisha mada ya kuukashufu Uislamu, lakini nimeshashudia michango Yako mingi sana ya kukashifu UISLAMU. Labda kama kuna mtu mnatumia ID inayofafana hapa JF.
Ndio nakuambia ndani ya Mwaka huu tafuta hizo comments uniwekee hapa
 
Back
Top Bottom