Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

Mkuu stori yako ya kumkataza binti wa kiislamu kufunga imetokea wapi huko?
Lakini kwanini waislamu wanakataza kupika na kula kwenye migahawa? , tena ni ishu ya kitaifa kabisa uko visiwani na tangazo likatolewa.
 
Kama mwili tu siyo wao lakin dada zetu wakijstiri wao inawauma wanatamani watembee uchi Kama wao unafikiri kafiri anaakili?
 
Kwani wamelazimishwa kufanya Kazi katika Nyumba za wakristo?
 
Kufunga ni wewe na mungu wako maana yeye anajua yaliyo sirini mwako suala la kulazimishana linakuwa lipo kidesturi zaidi kuliko kiroho.
 
Vipi kwa wakristo wanaofanya kazi kwenye nyumba za waislam wanaruhusiwa kula mchana mwezi huu au kula kitimoto nyumbani?[emoji124]
Huo mfano wako wa kitimoto haupo relevant kabisa! Unless useme kuwa kwenye hiyo futari ya housegirl awe anapika chakula ambacho kinaendana kinyume na imani ya ukristo (na hakuna chakula chenye restriction kwenye dini yenu).
 
Na vipi kuhusu Waislamu wanaolazimisha wasio Waislamu kufunga sababu ni mwezi wa Ramadhan wakati hauwahusu.
 
Na nyie siku za Pasaka na Krisimasi mbona mnawafanyisha kazi wadada wakristo!
 

Kama umekubali kufanya kazi kwa mtu unaye amini ni kafiri basi jiandae kula hata nguruwe na hakuna kufunga na kwa Mwamposa utakwenda kwa lazima! Mapepo utayafukuza na kila jioni lazima ujiandae kuongoza ibada na kukemea mapepo!
Hakuna kuvaa ushungi labda kama unataka kufukuzwa kazi![emoji16][emoji16]

Kama hutaki acha kazi nenda katafute kazi kwa waarabu au watu wa dini yako![emoji3526][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Umeongea vyema kabisa. Na kwa upande wa pili pia, wale wanaofunga wasiingilie utaratibu wa wasiofunga. Kwa mfano kama wewe au nyie mmefunga basi msikataze wengine wasiofunga kula mchana (mfano Zanzibar)... Pia juzi nilikua kwenye basi natoka Tanga, sasa dereva aligoma kusimama sehemu ya chakula eti kwa sababu ni kipindi cha mfungo na yeye amefunga. Nilipigwa na butwaa sana na kujiuliza sana kwamba uislam ndio mgumu hivi usiojali mahitaji ya wanaokuzunguka? Nikasema itakua shida sio uislam bali ni hawa binadamu wasioelewa na kufanya tusio waislam tuwe na fikra hasi kutokana na matendo ya hivyo... Ni sawa kabisa na hao wakristo wanaowazuia wadada wa kiislam kufunga, au waislam wanaowazuia wadada wa kikristo kula mchana kwa sababu tu wao wamefunga, wanasababisha dini zao zifikiriwe kwa fikra hasi.
 
Huo mfano wako wa kitimoto haupo relevant kabisa! Unless useme kuwa kwenye hiyo futari ya housegirl awe anapika chakula ambacho kinaendana kinyume na imani ya ukristo (na hakuna chakula chenye restriction kwenye dini yenu).
Dini gani unazungumzia?
 
zibar imeshirikisha ubongo kweli au ndio tatizo la brainwashing in the name of religion?
Funga Kwa Ndugu zetu ni kama wanakuwa wamelazimishwa na Kama wako jela na hawataki bughudha. Eti majaribu. Sasa wao wamefunga ila jiran akipika huo mtit wake huko Zenj ni Balaa. Unatakiwa ujifiche na chakula usiweke hta vinukizi...
 
Wakati wa ramadhani ulaji wa mtu aliyefunga huongezeka mara dufu hivyo kuongeza gharama badala ya kupunguza, hivyo usitegemee mtu asiyejitegemea aongeze matumizi ya mwajiri wake kisa "kufunga"
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila tuwe wakwel nyie mnabadilisha ratiba ya msosi tuu yaan unafunga afu unaamka saa 10 au 11 za asubuh kula???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…