Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo lazima ile chai mnayokunywa asbh yeye share yake anafuturu jioni basi. Na daku ile share yake ya usiku ni daku kufunga siyo kuharibu bajeti ya mwenye nyumba mkuu.Maisha magumu haya binti wa kazi anataka apewe bajeti ya 30K kwa ajili ya futari na daku kwa siku,wakati wa kufuturu anataka mazagazaga kama yupo Muscat,mara tende,harua na vyakula laini laini.
Waajiri wachache wa kikristu ndio wanaweza kuwapa futari ya uhakika kwa mabinti wao wa kazi.
Wengi wetu bora liende sio kwa ubaya ila mifuko iko mitupu.
Ndiyo kinachofanyika kwenye majumba ya waislamu?
Nenda Zanzibar tu hapo, mtu ni mkristo na ananyumba yake lakini haruhusiwi kula mchana kwa kuwa amezungukwa na waisilamu.
Hakuna muisilamu anayeweza kumruhusu hausegirl wake alete kitimoto nyumbani na apikie vyombo vya bosi wake.
Vipi kwa wakristo wanaofanya kazi kwenye nyumba za waislam wanaruhusiwa kula mchana mwezi huu au kula kitimoto nyumbani?[emoji124]
Mbn nyie mnakataza watu wasiuze vyakula mchana kama vule watanzania wote tumefunga ramadhani, ilo mbona hulisemi?
Hii habari ni ya uongo kabisa.Katika watu wanaoheshimu imani za watu wengine kwa vitendo ni wakristuFikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu."
Haipendezi bint wako wa kazi unamkataza kufunga kwakuwa familia yako hapo ni ya kikristo, unamkataza kujistiri na kuvaa ushungi kwasababu hupendezwi na mavazi hayo, hata sehemu ya kuswalia unamkataza asifanye ibada katika nyumba yako.
Vyema kumruhusu binti wa kazi kurudi nyumbani kwao kila mwezi wa Ramadhani ikiwa unakerekwa na yeye kufunga akiwa hapo nyumbani kwako, wengine mnawalazimisha waende kanisani na kudiriki kwenye maombezi ya kukemewa, na ibada mbalimbali za Kikristo hapo nyumbani mkijua kabisa huyu ni binti wa Kiisilamu.
Imani hailazimishwi bali inatengenezwa kwa namna wewe utavyomtendea na kumpa uhuru na kuamini kile anacho kiamini, na kumfanyia wema katika mahitaji yake ya ibada ikiwemo kumnunulia nguo ya sikukuu kama unavyofanya kwa watoto wako wakati wa pasaka, kisha kazi kwako itakuwa kumshawishi kwa hoja za ki-maandiko ili aikubali imani yako nasio vinginevyo.
View attachment 2181318
Tungeanza na wale wanaotandikwa fimbo kiembembuzi na viunga vyake ati wamekula mchanaFikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu."
Haipendezi bint wako wa kazi unamkataza kufunga kwakuwa familia yako hapo ni ya kikristo, unamkataza kujistiri na kuvaa ushungi kwasababu hupendezwi na mavazi hayo, hata sehemu ya kuswalia unamkataza asifanye ibada katika nyumba yako.
Vyema kumruhusu binti wa kazi kurudi nyumbani kwao kila mwezi wa Ramadhani ikiwa unakerekwa na yeye kufunga akiwa hapo nyumbani kwako, wengine mnawalazimisha waende kanisani na kudiriki kwenye maombezi ya kukemewa, na ibada mbalimbali za Kikristo hapo nyumbani mkijua kabisa huyu ni binti wa Kiisilamu.
Imani hailazimishwi bali inatengenezwa kwa namna wewe utavyomtendea na kumpa uhuru na kuamini kile anacho kiamini, na kumfanyia wema katika mahitaji yake ya ibada ikiwemo kumnunulia nguo ya sikukuu kama unavyofanya kwa watoto wako wakati wa pasaka, kisha kazi kwako itakuwa kumshawishi kwa hoja za ki-maandiko ili aikubali imani yako nasio vinginevyo.
View attachment 2181318
Neno kuntuVipi kwa wakristo wanaofanya kazi kwenye nyumba za waislam wanaruhusiwa kula mchana mwezi huu au kula kitimoto nyumbani?[emoji124]
Mtu anakula SAA 10 usiku. Wengine mnaamka na njaa, yeye muda huo Ameshiba NDIII halafu anaanza kuwaigizia Swaumu Inauma.Ila tuwe wakwel nyie mnabadilisha ratiba ya msosi tuu yaan unafunga afu unaamka saa 10 au 11 za asubuh kula???
Sio Zanzibar pekee Somalia Afghanistan etc zipo nchi kama ufaransa kuvaa ijabu tu imekuwa shidaJapokuwa ni stori ya kubumba ikisindikizwa na picha ya kugoogle, nyani haoni kundule. Waislam wanapowazuia wakristo kula popote hususani migahawani kule Zanzibar yenyewe ni haki na hii ya kumlisha mtoto mdogo ni haramu?
Pamoja na brainwashing tuliyopitia waafrika yatupasa kutumia maarifa ya kuzaliwa nayo--- hiyo ni ajira ya mtu na iko wazi watoto kama huyo kwenye picha yako feki hawafungi, je ulitaka nani amlishe kama si huyo aliyejitoa kuifanya hiyo kazi kwa ujira anaolipwa?
Na hii akili ya kuzuia hadi mama nitilie kupika au kule hadharani kule Zanzibar imeshirikisha ubongo kweli au ndio tatizo la brainwashing in the name of religion?
Aaaaaaaah kumbewee jizi watu wanazungumzia mtu na mtu nyumbani kwake sio biashara biashara waambie serikali wafungua hayo mahotel
Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu."
Haipendezi bint wako wa kazi unamkataza kufunga kwakuwa familia yako hapo ni ya kikristo, unamkataza kujistiri na kuvaa ushungi kwasababu hupendezwi na mavazi hayo, hata sehemu ya kuswalia unamkataza asifanye ibada katika nyumba yako.
Vyema kumruhusu binti wa kazi kurudi nyumbani kwao kila mwezi wa Ramadhani ikiwa unakerekwa na yeye kufunga akiwa hapo nyumbani kwako, wengine mnawalazimisha waende kanisani na kudiriki kwenye maombezi ya kukemewa, na ibada mbalimbali za Kikristo hapo nyumbani mkijua kabisa huyu ni binti wa Kiisilamu.
Imani hailazimishwi bali inatengenezwa kwa namna wewe utavyomtendea na kumpa uhuru na kuamini kile anacho kiamini, na kumfanyia wema katika mahitaji yake ya ibada ikiwemo kumnunulia nguo ya sikukuu kama unavyofanya kwa watoto wako wakati wa pasaka, kisha kazi kwako itakuwa kumshawishi kwa hoja za ki-maandiko ili aikubali imani yako nasio vinginevyo.
View attachment 2181318
Ungesemea pande zote,binti wa kazi wa kikristo anaweza kula kitimoto kwa boss wake muisilamu?? Je binti wa kazi wa kikristo anaweza kula kipindi boss wake muisilamu kafunga Ramadan??Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu."
Haipendezi bint wako wa kazi unamkataza kufunga kwakuwa familia yako hapo ni ya kikristo, unamkataza kujistiri na kuvaa ushungi kwasababu hupendezwi na mavazi hayo, hata sehemu ya kuswalia unamkataza asifanye ibada katika nyumba yako.
Vyema kumruhusu binti wa kazi kurudi nyumbani kwao kila mwezi wa Ramadhani ikiwa unakerekwa na yeye kufunga akiwa hapo nyumbani kwako, wengine mnawalazimisha waende kanisani na kudiriki kwenye maombezi ya kukemewa, na ibada mbalimbali za Kikristo hapo nyumbani mkijua kabisa huyu ni binti wa Kiisilamu.
Imani hailazimishwi bali inatengenezwa kwa namna wewe utavyomtendea na kumpa uhuru na kuamini kile anacho kiamini, na kumfanyia wema katika mahitaji yake ya ibada ikiwemo kumnunulia nguo ya sikukuu kama unavyofanya kwa watoto wako wakati wa pasaka, kisha kazi kwako itakuwa kumshawishi kwa hoja za ki-maandiko ili aikubali imani yako nasio vinginevyo.
View attachment 2181318
Umekariri mzee, watu wanafutari wali, ugali, mihogo, na hata kande, alokwambia kufutari unatakiw uwe na bajet ya elf 30 huyo haelewi anachokifanya.Maisha magumu haya binti wa kazi anataka apewe bajeti ya 30K kwa ajili ya futari na daku kwa siku,wakati wa kufuturu anataka mazagazaga kama yupo Muscat,mara tende,harua na vyakula laini laini.