Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

Ni muda kwa muislamu kuua ambaye si muislamu aliyekua jirani yake takbiiri allah akbar
 
Sawa, afadhali kuliko kuabudu "a moon goddess"
Hahahaha tunaemuabdu sisi ni huyu, anajieleza mwenyewe, hahitaji kuelezewa na mtu:

Qur'an 112:
KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 0
1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. 1
2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. 2
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa 3
4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja. 4
 
Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.

View attachment 2855198
Nilidhani kila mtu ana uhuru wa kuabudu huko!? Kumbe kama Afghanistan TU, ukiuacha Uislamu uNauawa! Aisee! Ukichaa huu, na ni kichaa pekee anayeunga mkono mauaji haya.
 
Moderator msimwache huyu huwezi kushabikia au kuhamasisha mauaji kisa kutofautiana mitazamo ya kidini, anastahili life ban
Hata Mimi nimeshangaa Aisee! Huu ni ushetani.
 
Ila kupitia makosa ya mleta Uzi nimeweza kuwafahamu wendawazimu wachache humu ndani ambao wako tayari kuua wengine kisa TU hawafuati dini yao waliyorithi toka Kwa Mwarabu.
 
Unawapangia watu nini cha kuamini!? Hiyo Sio kazi Yako Aisee!
 
Umewahi kuisoma japo tafsiri ya Qur'an ya Kiswahili?

Nipe ushahidi wa ililoandika. Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo, hivi dini yako ni dhambi mtu kusema uongo, au kawaida tu? kama vile kulawitiana mnabarikiwa.
That's the reaction I was expecting from you.

This is not a lie, Vatican knows the whole truth, if you want the complete evidence, kawaulize Vatican wanakwambia kila kitu hadi jinsi khadija na waraquah walivowasaidia kumueka Muhammad sawa, na padre aliyetoa hii siri vatican walimwita ni kichaa, hajielewi na kila aina ya sifa mbaya walimpa ili tuu watu wasimsikilize na kumpuuzia kama walivowafanyia wakina John Huss na Martin Luther, walimtafuta na mwisho wa siku walimuua.

Uzuri wa dunia ni kwamba hauna siri, mambo yatafahamika tuu na ukweli juu ya Muhammad na Allah unafahamika.

I'm not your regular Christian, I know things, I know Christianity, I know Hindu, I know Shintoism, I know Islam, I know Greek and Norse mythology, I study religions critically.
Swala kama hilo la kujua kwamba the moon god Allah predates Islam na alikuwa anaabudiwa pale Mecca kabla hata Muhammad hajaanza kazi yake ni swala dogo sana kwangu.
 
You have a very little knowledge of history my dear.
 
Leta Fujo hapa Tz utashughulikiwa ipasavyo ,
AlhamduliLlah wala hautaona Muislam ananzisha fujo hata siku moja, popote duniani.

Kumbuka tu, ukimuanza hakuwachi, kisasi kwa Waislam ni haki.
 
Vipi wauwe watu bila hatia hao si Waislamu hao ni wanatumia ushenzi wao kwa kusingizia Uislam.

Uislam ni din ya Amani
Uislam ni kansa kwa ustaarabu wa dunia ya leo.Mbona wengine hawajinasibu kuwa dini zao ni za amani kama wewe?
 
Pombe kwenye uislam haramu kwahio hua wanalewa kwa matakwa yao binafsi
Ila wakristo pombe inanywewa mpaka kanisani ambayo sehemu eti ya ibada
Maana yake kwa wakristo pombe halali
Kama wakristu wanalewa kanisani inaathiri vipi uislamu wako?
 
Magaidi ya Kiislamu yamewaua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…