Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

Huyo ni wa kumuonea huruma kwani sio yeye ila ni Jini Makata na Jini Maimuna yaliyopo ndani yake ndio yanamfanya awe hivyo ipo siku Yesu atamuweka huru mbali na kuonewa na majini na dhambi. Ni wa kumuombea tu.
Kweli kabisa, maana mimi naziona maiti zimedandia pickup, wenzangu mnaziona zipo mochwari?
 
Uislam ni din ya Amani
Mnachekesha sana na hii kauli yenu, ungeshambuliwa sana ungesema hivi pale Mecca, karne ya saba, wakati Muddy na genge lake la hovyo walipokuwa wanakata waarabu wenzake na panga, waliokataa kusikiliza story zake za uongo.
 
Nijibu leo sister, kwanini unafurahia kuuliwa kwa mtu asiye muislamu?
Nimewaona maiti wamedandia pickup ndiyo maana nimefurahi. Wewe hujawaona post namba moja?

Sasa hufurahii hapo, maiti za siku hizi haziwapi watu shida, zinajipeleka zenyewe na mizigo yao mazikoni?
 
Pombe kwenye uislam haramu kwahio hua wanalewa kwa matakwa yao binafsi
Ila wakristo pombe inanywewa mpaka kanisani ambayo sehemu eti ya ibada
Maana yake kwa wakristo pombe halali
Pombe sio halali kwa mkristo, usiongee vitu usivyovijua, muislamu akinywa pombe mnasema ni matakwa yake, kwann mkristo akinywa pombe mnasema ni halali na sio matakwa yake??

Pombe sio halali kwa waislamu lakini peponi kweny makazi ya Allah ipo, tena ni mito kabisa inayotiririka, inachekesha sana.
 
Si nasikia hata kanisani inagongwa kama kawa.
 
Halafu hao waandishi wenu wa Naijeria wanaipenda kweli hiyo namba 100. Na hoio nayo ilikuwa haohao 100:

Hatujakaa kidogo hukohuko 100 wengine, waambieni hao waandishi wenu wasiwe wavivu kuhesabu, hii ilikuwa zaidi ya 200 wao wakaandika 100:

Si nasikia hata kanisani inagongwa kama kawa.
Matendo ya kanisa moja haihalalishi dhambi.

Yesu alibadilisha water to grape juice(un-fermented) but kuna baadhi ya wakristo wanachanganya na kusema alibadilisha maji kuwa wine(pombe or fermented)

Learn the difference.
 
Mnachekesha sana na hii kauli yenu, ungeshambuliwa sana ungesema hivi pale Mecca, karne ya saba, wakati Muddy na genge lake la hovyo walipokuwa wanakata waarabu wenzake na panga, waliokataa kusikiliza story zake za uongo.
Wacha uchokozi na uoga kinajana, wana majina yao hao mbona unawapachika majina ambayo sio yao?

Hii namba 100 vipi Naijeria na Somalia, huko wanakufa mia mia tu.

Majanga.
 
Matendo ya kanisa moja haihalalishi dhambi.

Yesu alibadilisha water to grape juice(un-fermented) but kuna baadhi ya wakristo wanachanganya na kusema alibadilisha maji kuwa wine(pombe or fermented)

Learn the difference.
Duh ndiyomnakunywa damu ya mtu? Mnakula na nyama ya mtu?

Ndiyo maaana maitizenu zinadandia pickup. Nimeziona post namba moja.

Unywe damu na kula nyama ya mtu, si mchezo mchezo hapo.
 
AlhamduliLlah nilijaaliwa kuwa Muislam
Unaposema hivo automatically unamshukuru Roman catholic kwa kukutengenezea dini kwa kutumia Miungu ya kipagani ya palepale Mecca.

Good luck believing that.
 
Duh ndiyomnakunywa damu ya mtu? Mnakula na nyama ya mtu?

Ndiyo maaana maitizenu zinadandia pickup. Nimeziona post namba moja.

Unywe damu na kula nyama ya mtu, si mchezo mchezo hapo.
Sawa, afadhali kuliko kuabudu "a moon goddess"
 
Unaposema hivo automatically unamshukuru Roman catholic kwa kukutengenezea dini kwa kutumia Miungu ya kipagani ya palepale Mecca.

Good luck believing that.
Umewahi kuisoma japo tafsiri ya Qur'an ya Kiswahili?

Nipe ushahidi wa ililoandika. Ukishindwa ujuwe wewe ni muongo, hivi dini yako ni dhambi mtu kusema uongo, au kawaida tu? kama vile kulawitiana mnabarikiwa.
 
Back
Top Bottom