Kiungopunda
JF-Expert Member
- Oct 24, 2023
- 1,349
- 3,145
Sawa, sasa kama sijakamilika bila kuwa muislam ndio uniue? Je ukiniua ndio nitakamilika? Ebu nieleweshe kwa hilo bro.Bin Adam huwezi kukamilika pasi kuwa muislam.
Kama Adam mwenyewe alikuwa Muislam, Wewe mwenye ubin wake kwanini usiwe?