Kaunda suit tumeiona.
Sasa mkulima havai kaunda suti ila wewe bado una unamawazo ya kizamani kwamba mkulima awe hovyohovyo lakini huu ni utawala wa Rais Samia Suluhu wakulima ndio matajiri sasa
 
Kmmk hii nchi vichekesho haviishi yaani hii yote ni kumjibu bashiru Ili wamlizishe madam president
,πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
kwa bajeti hii ya kilimo wakulima wana kila haki ya kumshukulima mama maana gharama za kilimo zimepungua hii haihusiani na Bashiru maana sisi watanzaia wazalendo hatuyumbishwi
 
Hivi nyie machawa nani kawaroga
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maskini mama samiya, kusema kweli mimi namsikitikia sana
 
Ahsante rais mtarajiwa Ali bashiru kakulwa kwa kutusemea sisi wakukima.Endelea kutoa nondo ili chief hangaya ajirekebishe na mambo ya hovyo anayoyafanya
 
🀣 Watu wanaishi Kwa akili ya Mwaka 1900

Akili ileile, ilotumika uchaguzii wa 2015 wakati wa Lowasa

Steve Nyerere, Anaitwa Studio,anarekodi Hotuba Kwa kuiga sauti ya Nyerere, alafu wanairusha kwenye Vyombo vya habari Maredioni

Et, 'Sikiaa Hotuba ya Baba wa TAIFA"🀣🀣🀣

Unakuta Hotuba nzima, baba wa TAIFA anamchamba Mzee Lowassa !!🀣🀣
 
Mbolea imepanda Kwa Samia, na yeye ndo katoa Ruzuku.

Hata Ivo, mwaka 2015-2020, mbolea tulinunua 45 elfu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…