Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.
Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Daah!! Njaa,Kujipendekeza kubaya sana...... Nawashauri Vijana wenzangu mkianzisha familia na kupata watoto.... Himizeni watoto wenu wafanye kazi KWa bidii na pia waaminisheni kuwa kazi ndio njia sahihi ya kupata kipato bila fedheha.....
SAsa hebu ona kama huyo mzee..... Badala atafutie watoto wake ugali.. eti ana pambana na bashilu.... Hata bashiru mwenyewe hamjui.... Hajui sababu ya KWa nini kasema hivyo BASI tu.. eti anataka aonwe na ma......ma.... Tabu sana.....