Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

Ni mtu kichaa tu au ambaye net weck haifanyi kazi utamwabia mbolea ilikuwa bei juuu atakuli
 
Huna hoja hapa,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Bashiru kuwatafutia soko wakulima yeye amewahi kuwa Waziri wa kilimo au Viwanda na masoko au Waziri wa Biashara?Yeye alikuwa kwenye chama kujenga chama na kusimamia majukumu ya chama na wanachama wa chama chake.Acheni kumtwisha Bashiru mizigo ambayo haikuwa ya kwake.
 
CHAMA TAWALA UNAJUA MAANA YAKE!!??!! SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI INATEKELEZA ILANI YA CHAMA TAWALA. KATIBU MKUU WA CHAMA TAWALA ANAO UWEZO WA KUTOA MAELEKEZO KWA YEYOTE NDANI YA DOLA ANAPOOONA MAHALI KUNA PWAYA. BASHIRU IS CHASING A GHOST, ARUDI KWENYE CHAKI AACHANE NA POLITIKI HANA UWEZO. NDUGU YANGU SUALA KUTAFUTA SOKO KWA AJILI YA WAKULIMA WETU SILA WAZIRI AU RAIS, NI LETU WOTE KWA SABABU NCHI HII NI YA WAKULIMA NA WAFANYAKAZI THEN UNAPOKUWA KIONGOZI KUFUKIA NAFASI ALIZOKUWA NAZO BASHIRU, NDIZI ZA MULEBA,KASHOZI, KARAGWE ZINGEKUWA ZINAUZWA DUBAI,UK,USA KWA WINGI. WHAT DID HE DO!!?!!. KUWA MACHO NA WANASIASA LAGHAI TYPE HII
 
UCHAWA TU HUNA LOLOTE
 
Namuunga mkono Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Zamani
 
Wakulima wapi? Acha ujinga
 
Ni kweli mkuu mwenye jema ni wewe.
 
Mchele 3500/kg, maharage 3500/kg, sembe 2000/kg, mkate 3800., halafu kuna watu wanashupaza shingo eti mama anaupiga mwingi. Anaupiga mwingi kwenda wapi?
 
Mchele 3500/kg, maharage 3500/kg, sembe 2000/kg, mkate 3800., halafu kuna watu wanashupaza shingo eti mama anaupiga mwingi. Anaupiga mwingi kwenda wapi?
Kuna mtu alishauri kutrack movement ya chakula kutoka Mkoa Mmoja Kwenda mwingine na kile kinachokwenda Nje ya Nchi na kile kilichopo kwenye ghala la Taifa. Lengo likiwa ni kujua ni eneo gani Kuna upungufu wa chakula na kujua ni wakati gani udhibiti wa chakula Kwenda Nje ufanyike kwa ajili ya kudhibiti upungufu wa chakula nchini.

Sijui wamempeleka wapi!
 
Amepiga kwenye mshono.

Ni Kweli ni saa mbovu, bt Leo imesema Kweli.

HOJA ya Kujadili IPO,

Nchi inafilisiwa na waizi wanaomba mapambio Eti anaupiga mwingi'' Hadi unamwagikia!!
WENGI HAWAFURAHISHWI NA MAFANIKIO YA RAIS WETU, WENGI WALITARAJI HATA WEZA, AU ATASHINDWA, KUMBE KINACHOENDELEA SICHO, KILA MRADI UNAKWENDA VIZURI SANA NA TUNAONA WAZIWAZI.
#WATANZANIA WA LEO HAWADANGANYIKI AU HAKUNA MPUUZI ATAWEZA KUWADANGANYA, "WALIPOTOKA" WANAPAJUA NA "WANAPOELEKEA" WANAPAJUA.
 
Hii dhambi ni mbaya Sana, it is not about what he didn't do, it's more about what can be done.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…