Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

Wapo binadamu vichwani kumejaa upepo. Wakati wanamsifia mungu wao hilo hakuliona?
Hizi praise and worship huzisikii hata kwa majirani zetu Kenya, Bashiru hana tofauti na CCM wote wakiwa madarakani wanajisahau Sana.
 
Kama una V8,huwezi kujua matatizo ya wananchi, maji na umeme vinashindikana ilhali ndiyo engine ya maendeleo.Waziri anakopa kila siku,bila mradi mkakati wa kuliendeleza taifa.

Siwalaumu walioteuliwa pengine kusifu na kuabudu ni sehemu ya Job description zao.
 
Nani huyo?
 
Mchele 3500/kg, maharage 3500/kg, sembe 2000/kg, mkate 3800., halafu kuna watu wanashupaza shingo eti mama anaupiga mwingi. Anaupiga mwingi kwenda wapi?
Kama hurembelei "Vieite" huwezi kuelewa, cha ajabu ni vijana wa hovyo wanaosifia upuuzi
 
BASHIRU kinachomsumbua ni Njaa tuu,angekuwa ni katib Mkuu wa chama asingethubutu kuyaongea hayo,Njaa
 
BASHIRU kinachomsumbua ni Njaa tuu,angekuwa ni katib Mkuu wa chama asingethubutu kuyaongea hayo,Njaa
Huu ni ukweli, lakini kwanini wanapokuwa madarakani wanajisahau? Wakitoka Kama Bashiru na polepole akili zinawarudi. Unakumbuka point za Nape baada ya kutenguliwa? Lakini wakipewa uwaziri wanatufokea wananchi.
 
Mleta mada ndio walewale wa kusifu na kuabudu

Hapana,wa kusifu na kuabudu ni BASHIRU,sasa alikosea wa kumuabudu,anaepaswa kuabudiwa ni Mungu pekee,na ndie wa milele...

Aliekawa anamuabudu na kumsifia hayupo Tena dunian,that's why anachukia sana anapoona Samia akisifiwa anahisi kama anaabudiwa kama alivyokawa anaabudu yeye zama zake
 
wa
Bashiru amekukata kichwa? Mbona unatapatapa hivyo?
wakulima walipo porwa korosho zao huko kusini mwa Tanzania tena kwa kutumia jeshi DR. Bashiru alikuwa wapi? alisemaje?
Tuache nongwa
 
Tofautisha chama na Serikali inga chama ndicho kinachounda Serikali,Katibu wa chama hawezi kwenda kwenye wizara ya kilimo na kuanza kuwapangia kazi,juzi hapa Wakati wa Magufuli mlianza kulala kuwa wanasiasa wanaingilia watendaji,kisa chama kilianza kuwaoji watendaji wa wizara,Katibu wa chama anakuwa na nguvu Wakati wa chaguzi na kwenye vikao vya chama tu.Hawezi kwenda wizarani kumfukuza kazi Katibu wa wizara au kumpa mpango kazi, Sanasana anakutana na Waziri ambaye ndiye mwanasiasa na mtiifu kwa chama.
 
tatizo ndio liko hapo, yaani katibu mkuuwa chama tawala akalie tu politiki badala ya kuisimamia serikali. kwenye nafasi yake angeweza kwenda UAE, CHINA, MALI, MISRI akatafuta soko kwa ajili ya mazao ya mkulima wa nchii,halafu akaja kuipa serikali na wananchi wafanye ili kusecure soko alilolipata, hakuna kitu hapo ni mwanasiasa laghai tu kama walivyo wengine
 
Hii dhambi ni mbaya Sana, it is not about what he didn't do, it's more about what can be done.
atumie staili nyingine badala ya kuwachonganisha wakulima na serikali, eti kwamba waitishe serikali!!!, imewakosea nini wakulima hawa!!??!!, wako free kuuza mazao yao popote duniani wanakopata soko, ruzuku kwenye mbolea ipo, mabwawa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji yanajengwa!!! sioni ni wapi serikali imewakosea wakulima. ingekuwa kaongelea wafanyakazi wa nchi hii hasa waliopo kwenye sekta ya uma hapo kwa mbaaali ningemuelewa, lakini wakulima NO!!!.
 
Hatumpuuzi ng'o.

Wewe ndo wa kupuuzwa.
 
Yaani MITA ya LUKU Ina Salio la kutosha na umeme Amna.

Anaupiga mwingi'' kivp, Bashiru ongea tena na tena.
 
naamini mnafuatilia ziara ya rais mkoani manyara, na mmeisikia hotuba aliyoitoa waziri wa kilimo mh. BASHE, ubishi uishe sasa kila kitu kimefafanuliwa vizuri kuhusu wakulima wa nchi hii .
 
Mchele 3500/kg, maharage 3500/kg, sembe 2000/kg, mkate 3800., halafu kuna watu wanashupaza shingo eti mama anaupiga mwingi. Anaupiga mwingi kwenda wapi?
inawezekana wewe unafanya manunuzi yako kwenye mi VIP super market, kwa nini ununue mkate wa 3800/-???!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…