Wakulima tumpuuze Dr. Bashiru Ally hana jema kwa Taifa letu

Bashiru Apuuzwe au Maneno yake au vyote ?

Sababu kuna Tofauti katika hayo matatu..., Binafsi naona sio vema kumfuata mtu kama mtu (fuata akili / fikra zako) ila maneno yoyote yabebe kwa uzito wake, sababu hata Saa Mbovu huwa Sahihi mara mbili kwa Siku
 
fuatilia hotuba ya BASHE waziri wa kilimo aliyoitoa leo, wakati Rais akiwa ziarani manyara
Binadamu hawezi kuishi kwa Hotuba Pekee, Bali Mkate wa Kila siku, Ambao umekuwa Gharama isivyo kawaida...

Tunahitaji Big Results Now na Sio Ngojera...
 
Ni mpuuzi tu Kama ataona aliyoongea Bashiri yana maana!!, Alikuwa wapi kipindi wabunge na wanaccm wenzake wanamuita, kumfananisha magufuli na Mungu?. Mbona kipindi Cha magufuli hakupinga kusifia huko?, Huyu ni takataka Kama takataka zingine. Muda wake umeisha mshenzi na mnafiki huyu!!
 
Sukuma Gang kazini. Yale maneno yote ya mbunge Mpina wahusika wa vita ni hawa kina Bashiru.
 
Binadamu hawezi kuishi kwa Hotuba Pekee, Bali Mkate wa Kila siku, Ambao umekuwa Gharama isivyo kawaida...

Tunahitaji Big Results Now na Sio Ngojera...
hahahaaa!!!!.who is affecting bei ya mkate?!!!>,wakulaumu sana ni wakulima wetu wa ngano, putin na zelensky
 

Hiyo ndio halisi ya upatinaji wa mbolea ya ruzuku inabidi wakulima wadogo waifungie safari kweli kweli za gharama.


Na haya ndio madhara yake adhabu mpaka watu wanakufa kwenye kuitafuta hiyo mbolea.

Sasa tatizo sio Samia alietoa hela, ila ni strategic planning ya kufanya hiyo mbolea iwe accessed kirahisi.

Samia mwenyewe hajui uozo unao endelea huko chini anachojua katoa hela na kujitapa

Hawa ndio watu Dr Bashiru anao waongelea mnasifia nini badala ya kudai haki zenu.
 
"TUWE MACHO NA WANASIASA LANG'AI"THATS ALL.
 
We ndo wakuupuuzwa🚮
 
Bashiru anaongozwa na falsafa. Anapinga daima unyonyaji wa kitabaka na ni rafiki wa tabaka la wakulima kwa mda mrefu. Anawapa elimu kupitia makongamano yao toka kitambo. Wakulima hawawezi kamwe kumpuuza.
 
Kwa nini mtu akieleza maoni yake, kitu ambacho ana uhuru wa kikatiba, moja kwa moja watu wanaona ni chuki?

Kwa nini tunapenda sana hagiography?

Fine, Bashiru landa hana credibility, tuachane naye.

Je, hana uhuru wa kueleza maoni yake bila wingu la kuhusishwa na chuki?

Pinga hoja za Bashiru kwa hoja.

Onesha kazi kubwa anazofanya Rais Samia.

Madai ya "chuki" si hoja. Hiyo ni mipasho ya taarab zisizo na viwango.
 

Jibu hoja zake

Je ni halali kumsifia boss wako Kwa kukulipa salary?

Au ni halali kuisifia NSSF Kwa kukupa pension yako?
 
Bashiru anaongozwa na falsafa. Anapinga daima unyonyaji wa kitabaka na ni rafiki wa tabaka la wakulima kwa mda mrefu. Anawapa elimu kupitia makongamano yao toka kitambo. Wakulima hawawezi kamwe kumpuuza.
wamempuuza tayari
 
wakulima wa nchi mna ujinga mwingi
unawezaje kumpuuza mtu mwenye phd yake
jibuni hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…