Wakumbukwe Mashujaa wetu wa JF waliopumzika au kubanwa na Serikali

Wakumbukwe Mashujaa wetu wa JF waliopumzika au kubanwa na Serikali

Kuna mwamba alikuwa anaitwa viatu vya Samaki, huyu bingwa sijui alipoteleaga wapi
 
Aisee kumbe mnatukumbuka eeeeh! Kwa kweli nawapenda sana wote mnaonikumbuka. Majukumu yanatubana hadi tunasahau tulikotoka!
Siwezi kukusahau kwa jinsi ulivyomtishaga Ben Saanane.
 
Back
Top Bottom