Wakuu acheni michepuko

Wakuu acheni michepuko

Bora sie tuliehalalishwa kuwa wanne muhimu heshima na uadilifu

Mungu alijua nature ya wanaume na ndo maana kwetu wakaruhusiwa wanne na hata hao wanne watu bado [emoji23][emoji23][emoji23]

Nduguzetu upande wapili dini haiwaruhusu. Hivo mjitahidi kuwa na heshima na uadilifukwa wake zenu,tunajua mnao zaidi ya mmoja lkn respect jamni msiwakwaze ukizingatia dini hairuhusu kuwa wengi...
 
Sasa kama wewe umeliwa na wengi unapata ujasiri gani wa kukemea dhambi?.

Umetamka wazi kuwa wanaume wengi zimelegea...
Kwani mimi si daktari njoo hapa selian hospital nikuhudumie watu wanakulilia uwape dawa yakulala na wanawake zao .
So unasemaje wapo kibao unadhani nyie basi ni dili wadada wanaojiuza wanakuja hapa kupima afya zao wanaelezea hamna hela tena .
As if unanijua ulinikuta chimbo gani nikikuuzia ngenya na mfano nikauza nimekuuiza wewe blauri hamlinyi mtu kunywa chai
 
Mimi nayo 7 raha nayo pata kama niko peponi,usipotongozwa utatongozwaaa wadangaji wataishije bila sisi
Unatongozwa hapa jirani yangu amezoea kutongozwa mie nimezoea kutongozwa so anasubiri kutongozwa basi mie kimya .
Sijazoea sasa kutongoza kisa nini na midudu isiyonahela ipo mingi .
Nikuchagua tu kama nini.
 
Mwanaume kuwa na mwanamke mmoja ni matumizi mabaya ya nguvu za kiume kadri unavyotembeza moto ndio nguvu ujichaji kwa kasi ya ajabu,, kama mwanaume embu jipige kifuani mara tano
Nime notice hiki kitu
 
Luka 6:31

Jinsi mnavyotaka watu wawatendee nyinyi, watendeeni wao vivyo hivyo.


Waebrania 13:4

Ndoa iheshimiwe na watu wote, na wenye ndoa wawe waaminifu kwa wenzi wao ; maana Mungu atawahukumu wazinzi na waasherati.


Methali 6: 32

Lakini mwanaume aziniye na mwanamke hana akili kabisa; yeyote afanyaye hivyo hujiangamiza mwenyewe.


Mathayo 5:28

Lakini mimi nawaambieni, atakayemtazama mwanamke kwa kumtamani, amekwisha zini naye moyoni mwake.


1 Yohana 3:18

Wanangu, upendo wetu usiwe wa maneno matupu, bali upendo wetu udhihirishwe kwa vitendo na kweli.


1 Wakorintho 13:5-6

Upendo hauna kiburi na haukosi kuwa na adabu. Upendo hau tafuti kujipendeza nafsi; haukasiriki upesi, hauweki orodha ya mabaya. 6 Upendo haufurahii mabaya, bali hufurahia kweli
 
Utakimbia na kyupi mkononi aunt😆
Aiiiiiiiiiiiiiiiiihhhhhhh 😋😋😋😋😋😋😋😋
Waleteeee waleteeeeeeeeeeeeee anko waleteeeeeeeeeeeeee🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤣🤣🤣😜!!
 
Aiiiiiiiiiiiiiiiiihhhhhhh 😋😋😋😋😋😋😋😋
Waleteeee waleteeeeeeeeeeeeee anko waleteeeeeeeeeeeeee🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤣🤣🤣😜!!
Sitakiiii utanilaumu aunt😆
 
Back
Top Bottom