Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

Baba Rhobi

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2020
Posts
1,611
Reaction score
2,881
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.

Induction cooker
Silvercrest Double Induction (1_2).jpg

Multi Cooker
West Point Pressure Cooker ( Digital Liter 6) (3_4).jpg
 
Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
 
Kuongezea hapa pressure cooker inasaidia kwenye vitu vinavyochukua muda kama Maharage, ukiweka Maharage kwenye Gesi ama jiko la umeme ni gharama sana.
 
Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
je tunaweza kuzitofautishaje?
 
Infrated cooker tena ya plate moja achana na iyo ya coil mbili unafamilia?Jiko zuti sana wasikutishe ulaji wa Umeme hapana kabisaa..Jiko lipo kwenye Technology ambayo ni power saver na Environmental Friently kabisaa unaweza kupika kwa Unit za Umeme ndogo kabisa kama kunyoosha nguo,Kuwasha AC/Feni etc.

Kwa hiyo Multicooker kama ni mapishi ya wali ni safi kabisa iko chap nayo haili umeme kabisaa ila inawahi kuharibika

Yote 9 la 10 majiko yote tajwa ni mazuri ila Changamoto pekee ni yakiharibika mfano iyo induction coil jiko likidondoka likapasuka unaweza kuliweka stoo kwasababu wauzaji wengi kwenye warranty wasumbufu

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
je tunaweza kuzitofautishaje?
Infrared haichagui sufuria, induction inachagua, inafanya kazi kwenye sufuria zenye asili ya chuma tu, alminium haifanyi kazi/ jaishiki moto. Induction surface ya jiko haishiki moto, infrared inashika moto, induction inafsnya kazi unapoweka sufuri juu yake,ukiwasha kama hamna sufuria halifanyi kazi linapiga alarm linajizima. Induction moto unajutengeneza kwenye sufuria,infrared moto unajitengeneza kwenye plate.
 
Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
Infrared cooker is better since it has no radiation. In induction cooker due to varying magnetic flux people with pacemaker should use care when standing near induction cooker. Durability: Infrared cookers are more durable. Cleaning: Induction cooker is easier to clean.

Infrared heaters are the most efficient type of heater available. They use very little electricity to generate heat, and they provide a lot of heat for their size. Infrared heaters are also very safe to use, as they do not emit any harmful radiation.
 
Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
Brand zipi ni nzuri mkuu kwa uzoefu wako.
 
Mkuu nina wasiwasi mmoja hivi hizo induction cooker zinaweza himili mchakamchaka wa mgandamizo wa sufuria wakati wa kupika ugali, make naona nyingi juu ni vioo.
Sufuria ziko za bei tofauti tofauti, ni hela yako tu, sile za vioo ni nzito sana na zinauzwa gharama.
Wanaolalamika induction inakula umeme ni wale walionunua sufuria feki ambazo zimewekwa material ya chuma chini kwenye kitako tu ila juu wameweka aluminium, na ndio nyingi nimeona zinauzwa bei rahisi, matokeo yake ni kwamba sehemu inayokuwa inducted ni ndogo sana, na inaheat part ya chuma then part ya chuma inaheat aluminium. Kwa sufuria kama hiyo ni lazima na effecience ndogo matokeo yake inachukua muda kuivisha kitu
 
Back
Top Bottom