Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

Wakuu hebu tumalize utata hapa, INDUCTION COOKER vs MULTICOOKER nani ni mkombozi wa mapishi kwa umeme

Sufuria ziko za bei tofauti tofauti, ni hela yako tu, sile za vioo ni nzito sana na zinauzwa gharama.
Wanaolalamika induction inakula umeme ni wale walionunua sufuria feki ambazo zimewekwa material ya chuma chini kwenye kitako tu ila juu wameweka aluminium, na ndio nyingi nimeona zinauzwa bei rahisi, matokeo yake ni kwamba sehemu inayokuwa inducted ni ndogo sana, na inaheat part ya chuma then part ya chuma inaheat aluminium. Kwa sufuria kama hiyo ni lazima na effecience ndogo matokeo yake inachukua muda kuivisha kitu
Samahani kwa maswali mkuu, Sufuria zipi ni nzuri sasa na nitazijuajea na swali la brand gani ya Induction cooker na Multicooker ambayo wewe pengine umetumia unai recommend make sokoni kuna brand zaidi ya 10.
 
Juzi juzi nimezunguka kko nzima hakuna induction cooker ya plate mbili wala moja, wao wananipa infrared/ceramic cooker wakidhani ni induction, mtoa mada ameweka picha ya silver crest, sidhani kama ni induction cooker hiyo.
Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
 
Juzi juzi nimezunguka kko nzima hakuna induction cooker ya plate mbili wala moja, wao wananipa infrared/ceramic cooker wakidhani ni induction, mtoa mada ameweka picha ya silver crest, sidhani kama ni induction cooker hiyo.
Hii hukupata
Blackstone Induction Cooker 2000W (1_6).jpg
 
Wenye majiko haya waendelee kutoa elimu Ili kila mmoja anufaike mm nimeona watu wa zachtech wanayo plate 4 nami najupanga nichukue ilo ni nzuri sana
 
Induction cooker ukitaka uifaidi achana na sufulia nzito za chuma, sufulia nzito ni kwa moto wa gas sio induction, kuna zile sufulia nyepesi za bati weza sema ni bakuli la bati ila kwenye induction haiungua hata ukiweka watt 3000 ila inapata moto chap na inapika chap chap
 
Kuna kitu kimoja wanaume wenzangu huwa nawashauri, kazi za jikoni hazituhusu sawa lakini usipo invest kwenye tech jikon kwako ni ww mfuko utakutoboka, kwangu nina rice cooker, eletric pressure cooker, induction cooker, bread maker, blender kadhaa, juice maker, water boiler ya lita 10 nk vyote ni umeme, gas ya kilo 50 huu mtungi size ya kati huwa unatumika miez 3, mkaa ni kama situmii tena maana nlinunua kiroba kile cha 10,000 mwezi wa 4 huu kipo nusu, umeme nanunua 30,000 kwa mwez unatosha, so vitu vingi natumia umeme kuliko hizi energy source nyingine za gharama, sio kwamba sina watumiz mengine kama kufulia nk ila umeme wa 30k unatoboa safi kabisa, wekezeni jikon kwa technolojia muone ilivyo rahisi
 
Juzi juzi nimezunguka kko nzima hakuna induction cooker ya plate mbili wala moja, wao wananipa infrared/ceramic cooker wakidhani ni induction, mtoa mada ameweka picha ya silver crest, sidhani kama ni induction cooker hiyo.
Nenda Home City Mlimani City wanazo
 
Jiko janja wapo Makumbusho wanauza majiko ya induction plate moja na mbili pamoja na sufuria zake pia wanakutumia popote ulipo Tanzania.Watafute kwa namba 0684517275
 
Induction cooker ukitaka uifaidi achana na sufulia nzito za chuma, sufulia nzito ni kwa moto wa gas sio induction, kuna zile sufulia nyepesi za bati weza sema ni bakuli la bati ila kwenye induction haiungua hata ukiweka watt 3000 ila inapata moto chap na inapika chap chap
Mkuu sasa hizo sufuria za bati zinapatikanaje mkuu.
Make hilo zaga linabagua chuma tu, hizo nyepesi sana tunazipata wapi.
 
Kuna kitu kimoja wanaume wenzangu huwa nawashauri, kazi za jikoni hazituhusu sawa lakini usipo invest kwenye tech jikon kwako ni ww mfuko utakutoboka, kwangu nina rice cooker, eletric pressure cooker, induction cooker, bread maker, blender kadhaa, juice maker, water boiler ya lita 10 nk vyote ni umeme, gas ya kilo 50 huu mtungi size ya kati huwa unatumika miez 3, mkaa ni kama situmii tena maana nlinunua kiroba kile cha 10,000 mwezi wa 4 huu kipo nusu, umeme nanunua 30,000 kwa mwez unatosha, so vitu vingi natumia umeme kuliko hizi energy source nyingine za gharama, sio kwamba sina watumiz mengine kama kufulia nk ila umeme wa 30k unatoboa safi kabisa, wekezeni jikon kwa technolojia muone ilivyo rahisi
Kweli mkuu hilo nililigundua mapema, gas mtungi mdogo mwezi haumalizi na ni 23,000/= lakini umeme wa 20,000 kila kitu nafanyia.
 
Umeme wa 20,000 , unaishi peke yako geto
Mkuu inategemeana na matumizi mimi sina Air condition wala machine ya kufulia sasa TV radio na kuchaji simu pekee na PC navyo tunatumia masaa machache tukitoka mihangaikoni, kwa mwezi hata elfu 5 haifiki.

So nkiongeza kupika pika ndo inaongeza bili zangu hadi hiyo hapo.
Gesi ni back up kwa sasa mgao wa umeme.
 
Here are several types of cookers along with a recommendation for the one with the lowest energy consumption:

1. Gas Cooker: Uses natural gas or propane. It's moderately energy-efficient compared to electric cookers but not the most energy-efficient option.

2. Electric Coil Cooker: Features metal coils that heat up when electricity passes through them. It's slightly less efficient compared to other electric cookers due to heat loss.

3. Electric Smooth-Top Cooker: Utilizes a smooth glass-ceramic surface with heating elements underneath. It's more energy-efficient than coil cookers but still consumes significant energy.

4. Induction Cooker: Uses electromagnetic induction to heat the cookware directly. It's one of the most energy-efficient options because it heats the pan directly without wasting heat. However, it requires cookware with a magnetic bottom.

5. Slow Cooker (Crock-Pot): Cooks food at low temperatures over a long period, consuming relatively low energy. However, it's not suitable for all types of cooking and may not be practical for every meal.

6. Pressure Cooker: Cooks food faster than traditional methods by using high pressure and steam. While it can save energy by reducing cooking time, it requires more energy during the pressurization phase.

Among these options, the induction cooker is generally considered the most energy-efficient. It directly heats the cookware, resulting in less wasted heat compared to other types of cookers. Additionally, induction cookers are highly responsive to changes in temperature, which can further reduce energy consumption by allowing precise control over cooking temperatures.
 
Back
Top Bottom