5% ndiyo.
Kwa mfano mapambo yaliyobandikwa kwa gundi, visikizo vya chuma na lebel dhaifu hung'oka.
Kama nguo umezitumbukiza kwa mchanganyiko wa aina za nguo bila kuzichambua mf: shuka, net, mashati na suruali kwa pamoja husokotana na baadhi katika msuguano huo mashine inapofanya kazi huchanika ama kukatuka.
Inashauriwa kufua nguo zenye mtindo mmoja, kama ni suruali, ziwe suruali tu usichanganye na mashati, pia shuka zifuliwe peke yake.
Nguo za ndani ndiyo unaweza changanya na soxy pamoja na Tshirt.
Ukishazoea kufua kwa kutumia mashine hauwezi kuacha, ni nzuri sana inarahisisha maisha.
Halafu mashine za kisasa ni energy sever hazitumii umeme mwingi, mimi nguo zenye uzito wa kg 20-30 hufua kwa nusu unit tu.