Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
Kuongezea hapa pressure cooker inasaidia kwenye vitu vinavyochukua muda kama Maharage, ukiweka Maharage kwenye Gesi ama jiko la umeme ni gharama sana.Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
je tunaweza kuzitofautishaje?Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
Infrared haichagui sufuria, induction inachagua, inafanya kazi kwenye sufuria zenye asili ya chuma tu, alminium haifanyi kazi/ jaishiki moto. Induction surface ya jiko haishiki moto, infrared inashika moto, induction inafsnya kazi unapoweka sufuri juu yake,ukiwasha kama hamna sufuria halifanyi kazi linapiga alarm linajizima. Induction moto unajutengeneza kwenye sufuria,infrared moto unajitengeneza kwenye plate.je tunaweza kuzitofautishaje?
Natumia inductio. na Pressure coocer familia ya watu 6 na natumia unit4 kwa siku,Mimi nataka induction ila watu wananitisha linakula umeme sana hadi naogopa.
Naomba uniambie unatumia brand gani hiyo induction na single plate bei yake please.Natumia inductio. na Pressure coocer familia ya watu 6 na natumia unit4 kwa siku,
Infrared cooker is better since it has no radiation. In induction cooker due to varying magnetic flux people with pacemaker should use care when standing near induction cooker. Durability: Infrared cookers are more durable. Cleaning: Induction cooker is easier to clean.Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
Nadhani hii itasaidiaNaomba uniambie unatumia brand gani hiyo induction na single plate bei yake please.
Brand zipi ni nzuri mkuu kwa uzoefu wako.Mimi natumia. Zote mbili, zote ni muhimu hiyo malt cooker/ pressure coocer ni nzuri na haitumii umeme mwingi, induction cooker ni nzuri kwa vitu vya chap chap na kukaanga. Changamoto ya wabongo ni kuuziwa infrared cooker na kuambiwa ni induction cooker, na wengi wahazijui zaidi na zinafafana kwa kiasi kikubwa. Kama hiyo uliyoweka hapo ni infrared cooker na sio induction
Mkuu nina wasiwasi mmoja hivi hizo induction cooker zinaweza himili mchakamchaka wa mgandamizo wa sufuria wakati wa kupika ugali, make naona nyingi juu ni vioo.Natumia inductio. na Pressure coocer familia ya watu 6 na natumia unit4 kwa siku,
Karibu mkuu, Elimu bahari.Mhhh kweli elimu haina mwisho yaan kuijua rice cooker nikajua nishamaliza kumbe nilikuwa mtupu
Kongowe kwa mleta mada umeniongezea kitu
Sufuria ziko za bei tofauti tofauti, ni hela yako tu, sile za vioo ni nzito sana na zinauzwa gharama.Mkuu nina wasiwasi mmoja hivi hizo induction cooker zinaweza himili mchakamchaka wa mgandamizo wa sufuria wakati wa kupika ugali, make naona nyingi juu ni vioo.
Elimu haina mwisho.Mhhh kweli elimu haina mwisho yaan kuijua rice cooker nikajua nishamaliza kumbe nilikuwa mtupu
Kongowe kwa mleta mada umeniongezea kitu