Thebroker
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,334
- 5,829
Hapana, uwezo wa kifedha ndo unawaweka hapoWakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, uwezo wa kifedha ndo unawaweka hapoWakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
Mkuu hapa tuko pamoja. Hii kitu naielewa vibaya mnoNikipata hela Navuta Suzuki jimmy new model
Aminia tupambana TuMkuu hapa tuko pamoja. Hii kitu naielewa vibaya mno
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
Umo sahihi mkuu, ukiwa na crown Kwanza u feel proud barabarani, unavimba na hata watu hugeuka kukuangalia ni mtu wa aina gn uliyeweza kununua athlete crown, it's a most youth's dream kwa anayejua gari, unapata speed, comfortability, enjoyment na hata moyo husuuzika kujisikia upo kweny crown.Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
Muongo!, ukitoa ist gari inayofuata kwa kuuzika haraka ni crown, fanya research kwa car dealers watakwambia, usipotoshe watu mkuu
[emoji1666]Mimi Carina ti,
Old is Gold.
Mpaka leo naona Mark 2 imesimama sana hasa jamii ya Chaser na 110Crown ni trend tu kama trend nyingine.. Kama tu Enzi za Balloon, Mark II Grande, Altezza, Brevis, Mark X etc
Polo GTI 💥💥💥Volkwagen aise acha tu
Mimi gari ya ndoto yangu ni Volvo S60 Mungu anipe uhai tuPolo GTI 💥💥💥
Unatupamba ili utuuzie jini lako 🤣🤣🤣 hilo labda uliuze m5Umo sahihi mkuu, ukiwa na crown Kwanza u feel proud barabarani, unavimba na hata watu hugeuka kukuangalia ni mtu wa aina gn uliyeweza kununua athlete crown, it's a most youth's dream kwa anayejua gari, unapata speed, comfortability, enjoyment na hata moyo husuuzika kujisikia upo kweny crown.
Naifananisha na kjana anayetembea na mwanamke mrembo na mzuri barabarani, kila mtu hugeuka kukutazama umempataje, 😄
Wengi hulalamika kuhusu fuel consumption ila mfano mm hapa mjini hua natembea na 20km/hr au 25km/hr na wese haliendi, kwaiyo ni ww mwenyewe unavyotaka utembee vp barabarani.
Amen. Mwenyezi Mungu akupatie hitaji la Moyo wako.Mungu baba kabla sijafa nipate Ford Ranger Raptor, hizi chuma hata nikiwa barabarani nikiiona lazima nisimame niiangalie. Ntaidaka tu
Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi. Ameni.Mimi gari ya ndoto yangu ni Volvo S60 Mungu anipe uhai tu
Ni gari zuri sana.Kila nkilala nkiamka nawaza BMW tu