Wakuu hivi rafiki akifa ndani kwako Sheria inasemaje kuhusu hilo?

Bro, kitendo cha kuibeba maiti na kwenda KUITUPA lazima wewe uhusishwe kwenye tukio hilo moja kwa moja,

Damu ya mtu haipoteagi hata baada ya miaka 10 utashangaa tu unakua linked na hilo tukio na hapo hakuna mtu atakuelewa.
"Damu ya mtu haipotei" hiyo kauli inamuhusu aliyeua tena kwa kukusudia. Linapokuja suala la mtu kufa mwenyewe kwasababu zingine na mimi kutokutaka kujihusisha na tukio hilo, hiyo kauli haihusiki hapo.
 
Sielewi hata unataka kubisha nini,
Yaan uchukue maiti ukaitupe mtoni halafu unataka uonekane wewe huna hatia?
Wewe na aliyeua nyote ni wauaji,
Period.
 
Sielewi hata unataka kubisha nini,
Yaan uchukue maiti ukaitupe mtoni halafu unataka uonekane wewe huna hatia?
Wewe na aliyeua nyote ni wauaji,
Period.
Kwahiyo unafikiri ukiwaambia kuwa jamaa kaja mzima, asubuhi unamuamsha haamki, umempeleka hospitali daktari anasema kalishwa sumu. Halafu polisi wakwambie asante msema kweli , rudi nyumbani.
Hicho ndio unatarajia?
 
Wewe umejuaje kama amefariki?
 
Kuna kisa cha boyfriend Wa mtu kujinyonga kwenye kitanda cha baby wake daah sjui yaliishaje Yale mambo
 
Afe ndani kwako, nje kwako....nchi za nje au popote pale, awe rafiki, ndugu, adui yako, au usiemfahamu....ushahidi ndio huamua
 
Afe ndani kwako, nje kwako....nchi za nje au popote pale, awe rafiki, ndugu, adui yako, au usiemfahamu....ushahidi ndio huamua
Ushawahi kusikia kauli "upelelezi haujakamilika"? Haya kaa usubiri ushahidi uje uamue hatima yako
 
Ushawahi kusikia kauli "upelelezi haujakamilika"? Haya kaa usubiri ushahidi uje uamue hatima yako
Sio lazima afie ndani kwako ndo ushikiliwe kusubir upelelezi. Hata angefia kwao, ukitiliwa mashaka unakamatwa as well kama vile kafia kwako. Na anaweza akifia kwako wakakamatwa majirani au watu wengine kabisa wewe ukaendelea kupeta mtaani....
 
Sheria haimtambui rafiki bali inamtambua marehemu
 
Hapo chakwanza tafuta usafiri mpeleke hospital ukijifanya amezimia.watachunguza mama yu hai auni mfu.
Kama ni mfu watafanya uchunguzi wa kidaktari na polis kubaini chanzo.

Ila hapo ndio utaisaidia polisi japo hauna mafunzo ya kipolisi.
 
kwanin mkuu??mbna mim ndo nimeuchukua huo?
Kwa sasa teknolojia imekuwa, zaidi ya kuangalia mwili mpelelezi anaweza kuangalia mpaka mawasiliano ya mwisho ya huyo mtu. Kitengo cha cyber kinaweza, kutrace meseji au calls alizowasiliana na wewe au alizowasiliana na watu wengine pengine akisema yupo kwako. Umemtupa sijui wapi, anaokotwa mwili unafanyiwa uchunguzi DNA mtu aliyemshika marehemu hupatikana, wakilink kwenye mawasiliano unaingia nyavuni, tena wakifanya kazi kwa haraka vizur, hata DNA zake zitakutwa ndani mwako
 
kwamfano nisipomtupa ila nikamzika
 
Ila itaonekana kuwa wewe ndio ulikuwa wa mwisho kuwaailiana nae mkuu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…