Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa.
Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na kuongea hovyo bungeni na kuishia kuichafua CCM. Inabidi chama chetu kikemee wabunge walafi wasio na busara kuongea pumba bungeni hasa nyakati hizi za uchaguzi.
Ninashangaa mno kina Heche wameweza kuwazima kina John Mrema na genge lake lote. Akiachiwa Lissu ndo itakuwa balaa zaidi.