Chadema ina nguvunya Mungu ndani yakeHawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa.
Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na kuongea hovyo bungeni na kuishia kuichafua CCM. Inabidi chama chetu kikemee wabunge walafi wasio na busara kuongea pumba bungeni hasa nyakati hizi za uchaguzi.
Ninashangaa mno kina Heche wameweza kuwazima kina John Mrema na genge lake lote. Akiachiwa Lissu ndo itakuwa balaa zaidi.
Operesheni Sangara ilikuwa moto ila hii ya sasa inaweza kuwa ya moto zaidi kwa sababu mbalimbali ikiwemo uwepo wa mitandao ya kijamii.Usicheze na Mungu wewe
Huu moto sio wa kitoto hata kidogoHawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa.
Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na kuongea hovyo bungeni na kuishia kuichafua CCM. Inabidi chama chetu kikemee wabunge walafi wasio na busara kuongea pumba bungeni hasa nyakati hizi za uchaguzi.
Ninashangaa mno kina Heche wameweza kuwazima kina John Mrema na genge lake lote. Akiachiwa Lissu ndo itakuwa balaa zaidi.
Amemibua hadi Msemaji wa MachawaHakuna moto wowote... hilo ni genge la wahuni linalotafuna hela za wajinga kupitia wanachoita tonetone. Heche na Lissu ni wa kupuuzwa
No reform no electionna huwz uamin sasa hivi sio ccm wala chauma au ACT wote wanaimba no reform no election
Hawa jamaa walijisahau sana wakajiona wao ndiyo pekee wa kutawala hii nchi.Tunahitaji kuona ladha nyingine
Ugali kila kukicha si sawa
No reforms no election
Hadi unabubujikwa na machoziHakuna moto wowote... hilo ni genge la wahuni linalotafuna hela za wajinga kupitia wanachoita tonetone. Heche na Lissu ni wa kupuuzwa
Hii lengo lake hata kama akija mtu mwingine akae mstari ulionyokaHawa jamaa walijisahau sana wakajiona wao ndiyo pekee wa kutawala hii nchi.
Lengo kuu la No Reforms No Election ni kuweka mfumo mpya ili mamlaka yarudi kwa wananchi wawe na uwezo wa kuiweka ama kuitoa Serikali madarakani.
Ukiona mtu anapiga huu mwito wa kitaifa - fahamu hilo ni tapeli la kisiasa.
Lipi kundi Bora Kati ya linaloendesha shughuli zake kwa kukwapua Kodi za wananchi na lile linaloishi kwa kuombaombq kwa wananchi? Kuwa mkweli na epuka kuidanganya nafsi yako usijekufa kwa kihoro!Hakuna moto wowote... hilo ni genge la wahuni linalotafuna hela za wajinga kupitia wanachoita tonetone. Heche na Lissu ni wa kupuuzwa
Hii ni Mbadala wa Operesheni Kata Funua.Operesheni Sangara ilikuwa moto ila hii ya sasa inaweza kuwa ya moto zaidi kwa sababu mbalimbali ikiwemo uwepo wa mitandao ya kijamii.