Wakuu huu usajili wa Wasafi Festival sijauelewa

Mkuki wa nguruwe hahahahahaha, ndo nakatafakari kale ka kauli ka "BILA M 10 SIFANYI SHOO" haya thatha hao unaowafanyisha shoo unawapa hiyo m 10 ili scope ya burudani ibadilike..huhuhuhuhuhu
Eyes are mine...
 
Mkuki wa nguruwe hahahahahaha, ndo nakatafakari kale ka kauli ka "BILA M 10 SIFANYI SHOO" haya thatha hao unaowafanyisha shoo unawapa hiyo m 10 ili scope ya burudani ibadilike..huhuhuhuhuhu
Eyes are mine...
Teh teh ngoja lawama zianze kwenda upande wake...
 
Basi acha kulialia na bora ukae kimya
Sijalia mkuu..ni kwamba usajiri wao sijauelewa!! Ulitaka hili lisisemwe...mbona fiesta walileta wasanii wa ajabu show ya mwanzoni pale Moro na watu waliandika humu...
 
Wasani wa wasafi tu wanatosha kwa festival yote .. ao wengine ni waziada mwanzo huuu acheni paniki ...sasa sijajuwa festival ya kibakuli itaitwa kibamia festival ao hahahaha
unajitekenya unacheka mwenyewe.....hakuna bestmale duniani au unapumuliwa
 
Sio bure, vinginevyo hatumii kichwa chake kutafakari
 
Wasafi wangeweza kufanya show yao bila hata kuongeza wasanii wengine! Ila walichofanya ni kutambua kazi za wasanii wengine ambao kwa muda mrefu wameendelea kutopata heshima inayostahili kwa sbb CMG iliamua kuwagawa wasanii!! Hata Fid Q ni mmoja wa wasanii waliobaniwa sana na CMG hila alipigana vita vya pekee yake mpaka jamaa wanazuga kama hawakumbuki.!!
wacha nisikilize kwanza anti virus ya vinega
 
Mleta Uzi ana roho ya kishirikina...uchawi wake unaonekana waziwazi hapa
 
Yawezekana post yako ilikuwa sahihi sana lakini pale uliposema tu chid benz sio msanii wa kuelweka nikakupuuza moja kwa moja
 
Kwa akili yako wakueleweka ni kama akina nani vile!?
We nawe umejaa vijembe na majungu ya kike tu, empty kabisa!
 
Kwa bongo hakuna wasanii wanao trend kuzidi wa wcb, pia ongezea na Navy kenzo, ni hatar sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…