Ndio maisha yalivyo mkuu, siunajua penzi ni kitovu cha uzembe...π€Nafikiria umekuaje platinum member kwa thread kama hizi nashindwa kuwaelewa hahahaha
Hii ni tamthilia ipi?Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo.....
Yeye: Wazo gani mpenzi..??
Mimi: Nimepata wazo la kukuoa
Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki....
Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha?
Mimi: Minaona niachane pia na wazo la kukuoa.
Au nimekosea kumjibu wakuu....π€£
Sasa unamshangaa huyu....Nafikiria umekuaje platinum member kwa thread kama hizi nashindwa kuwaelewa hahahaha
ππHii wakamalia wanasema under 5.5 goal alafu first half mtu ashakula chuma 4
Uko poa ?Sasa unamshangaa huyu....
Umekutana na Pdidy?π
Ndiyo wazee wetu wa JF hao....Waheshimiwe.
Haya wewe great thinker tupe mawazo yako ambayo Watanzania wakiyafuata within a year wanaweza kuwa na kipato kikubwa ambacho kima cha chini itakuwa Yule ambaye ni masikini kabisa ataishi Kwa 50$ Kwa siku.Au waonaje Comrade?Nafikiria umekuaje platinum member kwa thread kama hizi nashindwa kuwaelewa hahahaha
Noma sanaaaaaaBaada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo.....
Yeye: Wazo gani mpenzi..??
Mimi: Nimepata wazo la kukuoa
Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki....
Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha?
Mimi: Minaona niachane pia na wazo la kukuoa.
Au nimekosea kumjibu wakuu....π€£
Niko poa Manyanza...Uko poa ?