Wakuu, huyu mwanamke nimeamua kumtolea uvivu... au nimekosea ndugu zangu??

Wakuu, huyu mwanamke nimeamua kumtolea uvivu... au nimekosea ndugu zangu??

Noma sanaaaaaa
Kwanza alikuaga anaringa dana mwanzoni wakati namzoza alinizingua sana nipo muomba tukutane.....
Kwanza aliniuliza eti kama nimeokoka, nikamjibu ndio..... kisha akasema basi nisawa kama nimeokoka tutakutana mbinguni..🤣
 
Baada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo.....
Yeye: Wazo gani mpenzi..??
Mimi: Nimepata wazo la kukuoa
Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki....
Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha?
Mimi: Minaona niachane pia na wazo la kukuoa.
Au nimekosea kumjibu wakuu....🤣
Sahihi 😄😄😄🙏
 
Back
Top Bottom