Kwanza alikuaga anaringa dana mwanzoni wakati namzoza alinizingua sana nipo muomba tukutane.....Noma sanaaaaaa
Niko poa piaNiko poa Manyanza...
Za wewe?
Sahihi ππππBaada ya kumaliza ugomvi wa jana basi leo alipo kuja geto nikamwambia kwamba nina wazo.....
Yeye: Wazo gani mpenzi..??
Mimi: Nimepata wazo la kukuoa
Yeye: Kama ni hivyo basi naomba uache pombe, uache kutoka na marafiki....
Yeye: Wazo gani liningine unahisi ukiliacha utaipata furaha?
Mimi: Minaona niachane pia na wazo la kukuoa.
Au nimekosea kumjibu wakuu....π€£
na kweli inawezekana kumwambia hivyo tu siku ya leo kashinda na furaha teleBado utaona na kusikiamengi mkuu...