Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
Aisee hata mimi nime notice hiliHuwezi kujibiwa. Humu watu wanachati kwa kujuana
Kweli?Huwezi kujibiwa. Humu watu wanachati kwa kujuana
Duh 🙄Aisee hata mimi nime notice hili
Mkuu h ishu ya kusema wana-consider ipi ni ya kujidanganya tuu, hakikisha unafanya vzr zote mbili.Naomba kueleweshwa,
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview.
Oral Interview tuliofanya tarehe 10 June kada ya Social Workers na Community Development Officers. Je, tutarajie PDF lini?
Akina nani hao wanachat kwa kujuanaHuwezi kujibiwa. Humu watu wanachati kwa kujuana
Duh! Oral Interview Sina uhakika nayo sanaMkuu h ishu ya kusema wana-consider ipi ni ya kujidanganya tuu, hakikisha unafanya vzr zote mbili.
KwannDuh! Oral Interview Sina uhakika nayo sana
Kuna maswali mawili nilishindwa kufikisha point tano tanoKwann
Duh 😞😞😞in Africa they ask u who send you here... dogo piga interview kama pata potea sometimes bahati hutokea ila sio zama za bi kidude.. possibilities za kupata ajira nowadays ni ndogo sana Acha mategemeo makubwa endelea na harakat zngne IF IT'S YOUR TIME U WIL BE and vice-versa is true
Mfumo wa interview ulikuaje?Naomba kueleweshwa,
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview.
Oral Interview tuliofanya tarehe 10 June kada ya Social Workers na Community Development Officers. Je, tutarajie PDF lini?
N usaili wako wa kwanza?Kuna maswali mawili nilishindwa kufikisha point tano tano
NdiyoN usaili wako wa kwanza?
Aisee 😓Mfumo wa interview ulikuaje?
Maana interview nyingi wanapiga written kwanza, written ni mchujo tu wa kupunguza watu
Ukishaingia kwenye oral basi kazi ya written ishaisha na kinachozingatiwa ni oral tu
Unless kuwe na interview ya oral na written ( mixed) ndio zitazingatiwa zote
Mkuu, nilichokiona kwako n kwamba hujakomaa kiakili Ndo mana unateseka kisa huu usaili wa kwanzaNdiyo
Hiyo ni Interview yangu ya kwanza PSRS lakini ni ya 9 tangu nimalize chuo. Na Nina offer letter 5 tangu nimalize chuoMkuu, nilichokiona kwako n kwamba hujakomaa kiakili Ndo mana unateseka kisa huu usaili wa kwanza
Kwa hiyo una offer letter 5 ila hauna ajira au unamaanisha nini?Hiyo ni Interview yangu ya kwanza PSRS lakini ni ya 9 tangu nimalize chuo. Na Nina offer letter 5 tangu nimalize chuo