Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 7,009
- 25,406
- Thread starter
- #21
Sina ajira ya serikaliKwa hiyo una offer letter 5 ila hauna ajira au unamaanisha nini?
Sina ajira ya serikaliKwa hiyo una offer letter 5 ila hauna ajira au unamaanisha nini?
Tuliza presha, tuliza akili, huna haja ya kukosa usingizi kisa usaili.Hiyo ni Interview yangu ya kwanza PSRS lakini ni ya 9 tangu nimalize chuo. Na Nina offer letter 5 tangu nimalize chuo
Kwa hiyo hizo offer letter 5 bado zipo wanakusubiri uzikubali offer zao ?Sina ajira ya serikali
So, kuwa na alama nyingi kwenye written Interview haitakuwa na msaada endapo mtahiniwa atapa alama chache kwenye Oral Interview?Kama ni usaili unaofanywa na sekretarieti ya ajira wanaanza na written wanaofaulu written wanakwenda oral walofeli written ndio basi hawawi considered tena.
Wanaofaulu vizuri oral ndio wanapata replacement na wengine wasiopata wanawekwa.kwenye data bank ajira nyingine zikitokea za kada hiyo hata hawazitangazi wanawachukua watu kwenye data bank na kuwapigia simu kuwauliza kama watakuwa interested anapangiwa
Kuna dogo wangu alifanya usaili secretariat ya ajira hadi kwenye oral nafasi ya afisa ustawi wa jamii kwenye halmashauri akafanya hadi oral interview majibu yalipotoka hakupangiwa kazi baadae baada kama ya miezi 3 akapigiwa simu na watu wa secretariat akaambiwa kwenye sailing aliofanya wa maafisa ustawi alifanya vizuri lakini hakupangiwa kituo kwani nafasi zilikuwa chache ila aliwekwa kwenye data bank sasa kuna nafasi ya afisa ustawi zimetoka wizara ya maendeleo ya jamii kama atataka wamwandikie barua ya kwenda kuripoti dogo akakubali baadae akapigiwa kuambiwa akachukue barua akaripoti kazini.
Kwenye usaili wa secretariat ya ajira matokeo ya written yanatolewa kwa waliofaulu kwenda kwenye oral na ambao hawajafaulu kwa mujibu wa cutting point walioziweka, ila kwenye sailing wa oral hawatoi majibu zaidi ya kutaja waliofaulu na kupangiwa vituo vya kazi. Hata waliowekwa kwenye data bank huwa hawataji
😓Tuliza presha, tuliza akili, huna haja ya kukosa usingizi kisa usaili.
Relax bwana mdogo
Chief, namaanisha tangu nimalize chuo kikuu nilifanya interview 9(ya serikali ni 1 tu ya juzi) niliwahi kufaulu interview 5. Kwa Sasa nipo sekta binafsiKwa hiyo hizo offer letter 5 bado zipo wanakusubiri uzikubali offer zao ?
Ahsante mkuu 🙏🏽Nimeamka kusali, nilipomaliza nikasema nipite humu, nikaona uzi wako uko juu kabisa. Written ndiyo iliyokupitisha kuingia kwenye Oral, kwa maana hiyo kazi yake iliisha. Sasa watakupima kwenye Oral ila usikate tamaa, usiogope wala kukosa usingizi.
Lala na muachie Mungu mwenyewe, akatende kadri jinsi ulivyomuomba na jinsi atakavyopendezwa. Kutofanya vizuri kwa hayo mawili, huenda kuna wengine pia imekuwa ni zaidi yako. Tegemea tu taarifa nzuri, ondoa hofu.
Wote mnaoingia kwenye oral alama zenu za written hazitambuliki tena Pale mnaanza upyaSo, kuwa na alama nyingi kwenye written Interview haitakuwa na msaada endapo mtahiniwa atapa alama chache kwenye Oral Interview?
Acha kumjaza negetive energyHuwezi kujibiwa. Humu watu wanachati kwa kujuana
Ukifanikiwa kuingia kwenye Oral Interview, yale matokeo ya Written achana nayo kabisa juwa kwamba unaenda kwenye mpambano mwingine, cha msingi hata kama usipopata hiyo nafasi uliyoomba kwa sasa basi unatakiwa upambane upate walau alama 50 ili ubakie kwenye Data base. Endelea kumuomba Mwenyezi Mungu lolote linaweza kutokea wala usikate tamaa katika hili.Naomba kueleweshwa,
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview.
Oral Interview tuliofanya tarehe 10 June kada ya Social Workers na Community Development Officers. Je, tutarajie PDF lini?
Kwenye Oral ulifanya zote kwa kada ya community na Social Worker...!?Duh! Oral Interview Sina uhakika nayo sana
Duh 🙄Ukifanikiwa kuingia kwenye Oral Interview, yale matokeo ya Written achana nayo kabisa juwa kwamba unaenda kwenye mpambano mwingine, cha msingi hata kama usipopata hiyo nafasi uliyoomba kwa sasa basi unatakiwa upambane upate walau alama 50 ili ubakie kwenye Data base. Endelea kumuomba Mwenyezi Mungu lolote linaweza kutokea wala usikate tamaa katika hili.
CD pekeeKwenye Oral ulifanya zote kwa kada ya community na Social Worker...!?
Interview panel huwa hawaangalii tu namna ya ulivyojibu swali, kuna vitu vingi wana vizingatia ikiwemo muonekano (mavazi), kujiamini n.kCD pekee
Kama ni hivyo tuombe Mungu, huenda nikapata hii kaziInterview panel huwa hawaangalii tu namna ya ulivyojibu swali, kuna vitu vingi wana vizingatia ikiwemo muonekano (mavazi), kujiamini n.k
Na ndio maana hata wale wasimamizi wa usahili huwa wanatoa utangulizi kabla haujaingia kwenye chumba cha mahojiano, huwa wanawaeleza interview candidates kwamba unapoulizwa swali basi jitahidi kuongea sio unaulizwa swali unakaa kimya au unasema SKIP, hapana jitahidi kuzungumza mle wanachotaka ni idea tu kuwa huyu mtu kweli anauelewa kiasi na hiki anachoulizwa, kwa hiyo usikate tamaa endelea Kuomba ndugu yangu.Kama ni hivyo tuombe Mungu, huenda nikapata hii kazi
Majibi sahihi haya hapa.Kama ni usaili unaofanywa na sekretarieti ya ajira wanaanza na written wanaofaulu written wanakwenda oral walofeli written ndio basi hawawi considered tena.
Wanaofaulu vizuri oral ndio wanapata replacement na wengine wasiopata wanawekwa.kwenye data bank ajira nyingine zikitokea za kada hiyo hata hawazitangazi wanawachukua watu kwenye data bank na kuwapigia simu kuwauliza kama watakuwa interested anapangiwa
Kuna dogo wangu alifanya usaili secretariat ya ajira hadi kwenye oral nafasi ya afisa ustawi wa jamii kwenye halmashauri akafanya hadi oral interview majibu yalipotoka hakupangiwa kazi baadae baada kama ya miezi 3 akapigiwa simu na watu wa secretariat akaambiwa kwenye sailing aliofanya wa maafisa ustawi alifanya vizuri lakini hakupangiwa kituo kwani nafasi zilikuwa chache ila aliwekwa kwenye data bank sasa kuna nafasi ya afisa ustawi zimetoka wizara ya maendeleo ya jamii kama atataka wamwandikie barua ya kwenda kuripoti dogo akakubali baadae akapigiwa kuambiwa akachukue barua akaripoti kazini.
Kwenye usaili wa secretariat ya ajira matokeo ya written yanatolewa kwa waliofaulu kwenda kwenye oral na ambao hawajafaulu kwa mujibu wa cutting point walioziweka, ila kwenye sailing wa oral hawatoi majibu zaidi ya kutaja waliofaulu na kupangiwa vituo vya kazi. Hata waliowekwa kwenye data bank huwa hawataji
Ninachokumbuka ni kwambaNa nmdio maana hata wale wasimamizi wa usahili huwa wanatoa utangulizi kabla haujaingia kwenye chumba cha mahojiano, huwa wanawaeleza interview candidates kwamba unapoulizwa swali basi jitahidi kuongea sio unaulizwa swali unakaa kimya au unsema SKIP, hapana jitahidi kuzungumza mle wanachotaka ni idea tu kuwa huyu mtu kweli anauelewa kiasi na hiki anachoulizwa, kwa hiyo usikate tamaa endelea Kuomba ndugu yangu.
Mpaka hapo jiandae kwa Placement ndugu yangu, hicho ni kiashiria kwamba yajayo yanafurahisha.Ninachokumbuka ni kwamba
1. maswali yalikuwa yanaeleweka na niliyajibu yote
2. Nilikuwa candidate wanne kuitwa kwenye panel na nilitumia muda mfupi kwenye interview kuliko walionitangulia(nilitumia kama dakika 4 tu).
3. Baada ya kumaliza, wakati nipo nje nashuka kwenye ngazi nilisikia huko ndani wakisema "wote wangekuwa kama huyu tungefunga kazi saa tisa". Sasa hii sentence ndiyo inanitia shaka kwamba je nimebornga au nimepiga?