Mfumo wa interview ulikuaje?
Maana interview nyingi wanapiga written kwanza, written ni mchujo tu wa kupunguza watu
Ukishaingia kwenye oral basi kazi ya written ishaisha na kinachozingatiwa ni oral tu
Unless kuwe na interview ya oral na written ( mixed) ndio zitazingatiwa zote
Ulipangiwa kazi nyingine tofauti na uliyo apply mwanzo ?Majibi sahihi haya hapa.
Mimi nilifanya written nikafaulu, Baada ya Oral walipotoa majina ya waliopata ile kazi sikuwepo, nikaja kupangiwa kazi nyingine miezi kama 6 baadae. Wife naye hivyo hivyo, amekuja kupangiwa baada ya miezi 3, ukifika oral tu unawekwa kwenye database.
AminaMpaka hapo jiandae kwa Placement ndugu yangu, hicho ni kiashiria kwamba yajayo yanafurahisha.
Acha uoga, mimi wakati napambania kombe, jamaa mmoja akawa ananikatisha katisha, mwisho akaniambia hatuangalii tu umeongea kwa urefu kiasi gani, tunaangalia na mambo mengine ambayo hakuyasema. Swadakta.Ninachokumbuka ni kwamba
1. maswali yalikuwa yanaeleweka na niliyajibu yote
2. Nilikuwa candidate wanne kuitwa kwenye panel na nilitumia muda mfupi kwenye interview kuliko walionitangulia(nilitumia kama dakika 4 tu).
3. Baada ya kumaliza, wakati nipo nje nashuka kwenye ngazi nilisikia huko ndani wakisema "wote wangekuwa kama huyu tungefunga kazi saa tisa". Sasa hii sentence ndiyo inanitia shaka kwamba je nimebornga au nimepiga?
ubarikiwe sana katika hili sualaAmina
Aamen 🙏🏽ubarikiwe sana katika hili suala
yes, huwa wanaangalia na kuzingatia vitu vingi sana, kuna wakati ile unaingia tu katika chumba cha mahojiano hata maswali hujaanza kuulizwa utaona tayari wameshashika peni na kuanza kuandika, kwa hiyo kuna maeneo mengi wanayoyazingatia.Acha uoga, mimi wakati napambania kombe, jamaa mmoja akawa ananikatisha katisha, mwisho akaniambia hatuangalii tu umeongea kwa urefu kiasi gani, tunaangalia na mambo mengine ambayo hakuyasema. Swadakta.
Duh 🙄Acha uoga, mimi wakati napambania kombe, jamaa mmoja akawa ananikatisha katisha, mwisho akaniambia hatuangalii tu umeongea kwa urefu kiasi gani, tunaangalia na mambo mengine ambayo hakuyasema. Swadakta.
Huyo jamaa tulikuja kukutana tena kwenye oral nyingine, kwa kuwa alinikariri sura ikabidi aniulize , "Wewe mzee haujaridhika tu ?" Nikamwambia mkuu sijaridhika bado hadi goma litiki.yes, huwa wanaangalia na kuzingatia vitu vingi sana, kuna wakati ile unaingia tu katika chumba cha mahojiano hata maswali hujaanza kuulizwa utaona tayari wameshashika peni na kuanza kuandika, kwa hiyo kuna maeneo mengi wanayoyazingatia.
hahahahaah daah sio poa inafikia kipindi hata wao pia utumishi huwa wanawakariri watu kabisa mpaka maeneo unayotokea ila utafutaji una mambo mengi sana ya kukumbukwa.Huyo jamaa tulikuja kukutana tena kwenye oral nyingine, kwa kuwa alinikariri sura ikabidi aniulize , "Wewe mzee haujaridhika tu ?" Nikamwambia mkuu sijaridhika bado hadi goma litiki.
Ila lile zoezi kuanzia written hadi oral kuna saikolojiko torture ya kibabe sana. Ni lazma kuwa karibu na Muumba wa mbingu na ardhi ili kulifanikisha salama.hahahahaah daah sio poa inafikia kipindi hata wao pia utumishi huwa wanawakariri watu kabisa mpaka maeneo unayotokea ila utafutaji una mambo mengi sana ya kukumbukwa.
ni kweli kabisa ndugu yanguIla lile zoezi kuanzia written hadi oral kuna saikolojiko torture ya kibabe sana. Ni lazma kuwa karibu na Muumba wa mbingu na ardhi ili kulifanikisha salama.
Hata kuchelewesha placement ni psychological tortureIla lile zoezi kuanzia written hadi oral kuna saikolojiko torture ya kibabe sana. Ni lazma kuwa karibu na Muumba wa mbingu na ardhi ili kulifanikisha salama.
Everything.Hata kuchelewesha placement ni psychological torture
Hii chai utumishi wakupigie simu alafu wakuulize sehemu flani unapataka?Kama ni usaili unaofanywa na sekretarieti ya ajira wanaanza na written wanaofaulu written wanakwenda oral walofeli written ndio basi hawawi considered tena.
Wanaofaulu vizuri oral ndio wanapata replacement na wengine wasiopata wanawekwa.kwenye data bank ajira nyingine zikitokea za kada hiyo hata hawazitangazi wanawachukua watu kwenye data bank na kuwapigia simu kuwauliza kama watakuwa interested anapangiwa
Kuna dogo wangu alifanya usaili secretariat ya ajira hadi kwenye oral nafasi ya afisa ustawi wa jamii kwenye halmashauri akafanya hadi oral interview majibu yalipotoka hakupangiwa kazi baadae baada kama ya miezi 3 akapigiwa simu na watu wa secretariat akaambiwa kwenye sailing aliofanya wa maafisa ustawi alifanya vizuri lakini hakupangiwa kituo kwani nafasi zilikuwa chache ila aliwekwa kwenye data bank sasa kuna nafasi ya afisa ustawi zimetoka wizara ya maendeleo ya jamii kama atataka wamwandikie barua ya kwenda kuripoti dogo akakubali baadae akapigiwa kuambiwa akachukue barua akaripoti kazini.
Kwenye usaili wa secretariat ya ajira matokeo ya written yanatolewa kwa waliofaulu kwenda kwenye oral na ambao hawajafaulu kwa mujibu wa cutting point walioziweka, ila kwenye sailing wa oral hawatoi majibu zaidi ya kutaja waliofaulu na kupangiwa vituo vya kazi. Hata waliowekwa kwenye data bank huwa hawataji
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hahahahaah daah sio poa inafikia kipindi hata wao pia utumishi huwa wanawakariri watu kabisa mpaka maeneo unayotokea ila utafutaji una mambo mengi sana ya kukumbukwa.
Mkuu kuna jamaa yangu alifanya interview ya kuandika akatoboa Kifupi alipasua ila alipoenda kwenye interview ya mahojiano daaah jamaa akaanza kutetemeka miguu, mijambo mingi.hata alichokiandaa kikaondoka.Now yuko iringa aliitwa kazini. Mkuu unaweza usiitwe kwenye hiyo kazi lakini ukapangiwa sekita nyingine .wanaamini kama umeweza kufaulu mtihani wa kuandika bc ww una kitu hivyo kushindwa kujibu vzr wakti wa mahojiano kuna visababishi vingi siyo kwamba hujuiNaomba kueleweshwa,
Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?
Ni saa 00:26 usiku, Sina usingizi, nina wasiwasi mkubwa sana wakuu maana nilifanya vizuri kwenye written interview ila Sina uhakika na Oral Interview.
Oral Interview tuliofanya tarehe 10 June kada ya Social Workers na Community Development Officers. Je, tutarajie PDF lini?
Kwahiyo ni kweli written interview Ina umuhimu hata baada ya oral?Mkuu kuna jamaa yangu alifanya interview ya kuandika akatoboa Kifupi alipasua ila alipoenda kwenye interview ya mahojiano daaah jamaa akaanza kutetemeka miguu, mijambo mingi.hata alichokiandaa kikaondoka.Now yuko iringa aliitwa kazini. Mkuu unaweza usiitwe kwenye hiyo kazi lakini ukapangiwa sekita nyingine .wanaamini kama umeweza kufaulu mtihani wa kuandika bc ww una kitu hivyo kushindwa kujibu vzr wakti wa mahojiano kuna visababishi vingi siyo kwamba hujui