Wakuu, kati ufaulu wa Written interview na Oral Interview ipi Wana consider sana wakati wa placement prioritization?

Ulipiga kada gani mkuu na ilikuwa tarehe ngapi mwezi wa sita?
 
Written ni Kwa ajili ya mchujo tu ... Itabidi ufaulu oral kijana hakuna namna
 
Hata mimi nilifanya interview hiyo tarehe 10/6 2025 hadi sasa bilabila naendelea tu na mishe nyingine ila roho inaniuma
 
Huyo jamaa tulikuja kukutana tena kwenye oral nyingine, kwa kuwa alinikariri sura ikabidi aniulize , "Wewe mzee haujaridhika tu ?" Nikamwambia mkuu sijaridhika bado hadi goma litiki.
Mkuu vipi kwenye hiyo Oral ya kwanza ulifanikiwa kupata placement?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…