Wakuu Kudate na namba A inahitaj sana Moyo Jana niliombwa Elfu tatu

Aisee hata sijaelewa hata kaandika nini, mimi nikishaona mtu anajaribu kuandika lugha inayofanania na kiswahili halafu kaweka na xXx huwa nasitisha mawasiliano🐒
 
Kwa jinsi ninavyochukia mtu anapoandika x badala ya s sina hata cha kuandika, nimekosa cha kuandika.
 
𝙳𝚎𝚖𝚞 𝚠𝚊 𝚑𝚒𝚟𝚢𝚘 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚑𝚔𝚒𝚔𝚞𝚘𝚖𝚋𝚊 𝚎𝚕𝚊 𝚞𝚗𝚊𝚖𝚐𝚘𝚗𝚐𝚊 𝚞𝚗𝚊𝚝𝚞𝚖𝚒𝚊 𝚞𝚣𝚊𝚒𝚏𝚞 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚗𝚊𝚎 𝚖𝚊𝚙𝚎𝚗𝚣 𝚋𝚊𝚌
 
Wanaume hua tunaongeaga tu, Eti ukiona X kwenye chating yake unatupa mbali... Sisi na tamaa zetu za kuku, herufi X ikukimbize??... Mimi kama mimi wanaoandika X badala ya S, ninao wengi sana na nakula tu na maandishi yao hayanitishi... Wanaume mlio andika kuwa mwanamke mwenye matumizi ya X mnamuacha, ni waongo, wanajisemesha tu apa Jf, nyapafu
 
Xikiliza hakuna mahuxiano kati ya yeye kukuomba hela na kuwa xingle mother hilo la kwanza.!

La pili, hakupendi, anakuchukulia wewe kama chanzo cha mapato kutokana na hali yake ngumu kiuchumi.
 
Rafiki wewe hutaki unafiki [emoji23][emoji23] safi.
 
Mzee unaombwa buku unakuja kumsema Edda Mkama mitandaoni kweli huo nduo ustaarabu uliofunzwa na mama yako? Kuita binadam mwenzio namba D kisa umri ndio adabu uliyofunzwa na baba yako? Kua mstaarabu mkuu.
 
Mkuu usitoe Pesa kizembe hata 500 ni nyingi wanao kubeza achana nao.
Fanya kitu kutokana na kipato chako
 
Hahaha. Vuamilia kawaida tu. Mimi jana demu kaniomba elfu tatu na ndio siku ya kwanza kumtongoza kwenye simu. Nikamwambia tukutane sehemu kwenye uchochoro fulani, nikafika Nikampa kwanza hela, ile kumpa akatimua mbio anasema hawezi kukaa, na hajibu hata message tena. Nilishangaa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…