Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha
Tusubiri wataalamu wa mambo watoe ufafanuzimaana yake nini
na hio sijui namba D
nitoe ushamba 🤦🏽♀️
𝙳𝚎𝚖𝚞 𝚠𝚊 𝚑𝚒𝚟𝚢𝚘 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚑𝚔𝚒𝚔𝚞𝚘𝚖𝚋𝚊 𝚎𝚕𝚊 𝚞𝚗𝚊𝚖𝚐𝚘𝚗𝚐𝚊 𝚞𝚗𝚊𝚝𝚞𝚖𝚒𝚊 𝚞𝚣𝚊𝚒𝚏𝚞 𝚠𝚊𝚔𝚎 𝚔𝚞𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊 𝚗𝚊𝚎 𝚖𝚊𝚙𝚎𝚗𝚣 𝚋𝚊𝚌Katika harakati zangu za kuuza Ubuyu GHAFLA nikaomba namba ya Dada mmoja hivi she has 24 years na Ni single Mother. Mtoto wake amemtupia Mama yake huku yeye akipanga Chumba Maeneo ya Gongo la Mboto.
To be honest Ilikuwa Ni usiku nilivyomuona I was very interested with her Na ndipo nikaomba Namba ake.
hakusita nipa namba
baada ya hapo tuliagana yeye Akashuka buza Mimi nikaenda hadi home Temeke .
After two days nilimcheki then yeye Mwenyewe akaanza jitongozesha . So alinambia kaumizwa sana na Mapenzi so anahitaji Mtu was kumfuta Machozi.
Mimi nilimpa moyo na Tukaanza kudate.
Sasa huyu demu kiufupi nilimuomba Appointment ili tuonane coz aliniambia anafanya biashara za Mnadani honestly Mimi Mwenyewe nauza Ubuyu so niliona wazi hapa nimepata mtu makini aambaye tupo ktk jahazi moja tukielekea Pemba.
Sasa to cut the story
Mzinga wa kwanza. Kabisa aliniomba elf 16k ili Asuke nikaamua mtolea nje sababu ya kumnyima nilimwambia sikufahamu vizuri so siwez kukutumia hiyo pesa kwa sasa hadi tuonane . Akasema sawa
So jumapili nilienda kwake tukaonana nikampa buku 5 ya chakula na hatujafanya chochote .
Sasa Cha Ajabu Jana kaniomba buku 03 eti Hana hela ya kula so nikajiuliza maswali hivi huyu demu anadai yeye Biashara inamlipa vizuri hadi hatamani kuajiriwa so how comes aniombe hela ya kula buku tatu .
Kiukweli sijamtumia hadi sahv
Funzo
Kama unataka Mwanamke usitafute single Mother number A ni hatari Bora tuendelee na namba D zetu 22 kushuka chini kuliko namba A ambao most of them hawana Huruma wapo tiyari kuongea uongo ili wapate pesa na kusahau kuwa Love is progress.
I dedicate this thread to All Youths to find out Number D as to reach their goals.
😎
View attachment 2223382
Na uzeee huu??Just take as a lesson bro
Yani ishu n miaka![emoji16]Kwa hiyo herufi zipo A hadi Z?Mwanamke aliyetembea kilometers nyingi
Rafiki wewe hutaki unafiki [emoji23][emoji23] safi.Wanaume hua tunaongeaga tu, Eti ukiona X kwenye chating yake unatupa mbali... Sisi na tamaa zetu za kuku, herufi X ikukimbize??... Mimi kama mimi wanaoandika X badala ya S, ninao wengi sana na nakula tu na maandishi yao hayanitishi... Wanaume mlio andika kuwa mwanamke mwenye matumizi ya X mnamuacha, ni waongo, wanajisemesha tu apa Jf, nyapafu
[emoji23][emoji23][emoji23]Na kujumlisha ni figo
Wallah,mtu ajue kuandika.cha kwanza mwanamke hata awe mzuri vipi akiandika X badala ya S, sifuri badala ya O natupa namba hapo hapo, najua kichwani hamna kitu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na kujumlisha ni figo