prince alex khalifa
JF-Expert Member
- Aug 20, 2025
- 424
- 498
- Thread starter
-
- #241
Kaka mbona umeshupalia inshu ya ubwabwa Huwa mnafanywa nini,maana ukiona mtu ameweka kitu akilini sana jua tu anakipenda sasa nyinyi mnanifikirisha sana sijalala usiku kucha nafikiria hivi Hawa mbona bwabwa liko akilini Huwa wanafanyana nini Hawa?Haka ni ka bwabwa kanajitangaza
Umekula kweli kaka mbona umekaza fuvu sana shida nini?, haya nitumie NAMBA yako ya simu nikutumie mia Tano ukale kacholi etiπ€£π€£π€£π€£π€£. Usipaniki kaka matani tuHaka ka bwanamdogo ni ka bwabwa hata uandishi wake angalieni wenyewe kameandika sahixi yaani ni ka bwabwa kabisa kanatafuta wanaume. Ni kukapuuza tu kamenyauka kanataka kapigwe pipe.
Umekula kweli kaka mbona umekaza fuvu sana shida nini?, haya nitumie NAMBA yako ya simu nikutumie mia Tano ukale kacholi etiπ€£π€£π€£π€£π€£. Usipaniki kaka matani tu
Asante na karibu
Kwahio unashauri bidhaa za kiume zitambulishwe / ziwe promoted na advertised na Wanawake ? Tatizo binadamu tumekuwa so antagonistic na stereotypical..., wakati issue kama hii inategemea na appearance kama wewe umekaa kama jambazi jambazi unadhani na ni perfect ku-showcase bidhaa za Ujambazi...Kwa wanaume modeling na π ni kama chips na tomato.
Karibu jf
Tuma picha zako acha lolongo maneno mengi unamaliza karatadi unaleta jangwaa...Kaka we ndo mungwana kaka umenifsriji sana Kuna watu humu wanani tukana pasina sababu za msingi wanasahau kuwa sisibtuko kwenye utafutaji
Asante na karibuuu
Kaka mi na management, Kuna baadhi ya mambo kwenye mkataba yanani shinda kila nifikiriapo nikaona ni Bora nijisimamie hivyo ikitokea nikapost chochote itabidi niwalipe wao kwani hatujamalizana nao nikaona nikimbilie huku ili sasa nianze kujitegemea tapomaliza nao mi takuwa na haki miliki zote zinazo husu Mimi ndo napambania sasa mkuu, sina uwezo wa kulipa mapesa mengi endapo tatakiwa kufanya hivo Kwan nmekataa kuendelea na jamaa kutokana na kuto kuwa huru kushirikianan na wengineo mambo ya kusimamiwa kaka si mepesi kama watu wanavo chukulia, tuwe wavumulivu Niko tayari kuanzia upyaTuma picha zako acha lolongo maneno mengi unamaliza karatadi unaleta jangwaa...
Niaje mkuu unakuwa kama mccm
Management haitaki kazi zao ziende viral? Au mkataba wenu hauruhusu watu kuona video clips zenu??Samahani tuwe na subra maana nilitaka nijisamie mwenyewe kazi zilizopo ni za management
Asante na karibu
Hapana nilitaka niachane nao, sababu kubwa ni uhuru wao wananibana sana siwezi toa kaz mfululizo wao wanaitaka kazi zote wsimamie wao hivo inanipa shida kuendana Kasi ya soko, endapo tatoa kazi za chini yao takuwa nmejifunga ili kutoka itabidi nilipe gharama zao kitu ambacho ni kigumu kwanguManagement haitaki kazi zao ziende viral? Au mkataba wenu hauruhusu watu kuona video clips zenu??
Unaweza kuwa manager wangu?Management haitaki kazi zao ziende viral? Au mkataba wenu hauruhusu watu kuona video clips zenu??
π€£π€£π€£π€£Kwa wanaume modeling na π ni kama chips na tomato.
Karibu jf
Karibu ndgu, kampuni itachukua 70% , na wewe tutakupendelea kwa kukupa 30%Unaweza kuwa manager wangu?
Kwahiyo kwa sasa hutaki kuwanufaisha??Hapana nilitaka niachane nao, sababu kubwa ni uhuru wao wananibana sana siwezi toa kaz mfululizo wao wanaitaka kazi zote wsimamie wao hivo inanipa shida kuendana Kasi ya soko, endapo tatoa kazi za chini yao takuwa nmejifunga ili kutoka itabidi nilipe gharama zao kitu ambacho ni kigumu kwangu
Asante na karibuu
Heeeee basiKaribu ndgu, kampuni itachukua 70% , na wewe tutakupendelea kwa kukupa 30%
Nilivyoona modelingi nimeshtuka sanaKwa wanaume modeling na π ni kama chips na tomato.
Karibu jf
Smart 911
Nichekeshe basiπ€π€π€Habari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.
bro alex , njoo umuone mdogo wako huyu hapa π πHabari zenu ndugu zangu, kwa jina naitwa alexander Zacharia Alex khalifa.Najishughulisha na mitindo na uchekeshaji tu ndo kazi yangu. Nimejiunga Leo rasmi hivo mnipokee, picha yangu ndo hiyo mnayo Iona, naomba nielekezwe napo kosea maana mi ni MGENI sijui utaratibu wa humu.