Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Asante sanaaaaaa kaka Alex umeweka mizania sawaa
Kuna jamaa alikua amekomaa eti na I'd mbili siku MUELEWA kumbe ndo alimanisha hiyo. Sija wahi tinda nyusi, sivai midosho, mi na kofia kichwani paka na panya, cheni ni irizi YANGU kila unionapo lazima new na cheni shingoni, sikumbuki lini nilivaa kofis mara ya mwishoo

Fullstop, kwishaaa
 
Ndio ivyo wadau wengine hawakawii kuhisi ni li parody LAKO.

Kumbe hata sio wewe.
 
Sina hakika sanaaa.
Hao kufumuliwa Malinda ni kawaida Kuna dogo nmesoma nae chuo dah tumepotezana miaka mitano kujakuonana kajicream ila jinsi ya kutembea na mikaao kwenye kiti ilinishtua ni modo naye

Hukumtongozaa? 😂😂😂😂

Hahahahahaa ni kavulana tulikuwa na washkaji tumemuweka mtu kati nilimtania tunako elekea unaenda badili jinsia akawa anacheka ila hapo kugeuzwa ni uhakika alietusanua ni ndugu yake

Fullstop, kwishaaa
 
Kwahiyo kwa sasa hutaki kuwanufaisha??
Na taratibu za kutoka huko zikoje, naweza kua meneja wako tukafanya kazi vizuri kabisa bila shaka.

Kwahiyo kwa sasa hutaki kuwanufaisha??
Na taratibu za kutoka huko zikoje, naweza kua meneja wako tukafanya kazi vizuri kabisa bila shaka.
Mkuu nashukuru sana ukitaka kuwa meneja wangu sijui we upo wapi? Pia nataka nijisimamie mwenyewe ILI niwe huru kuhusu wao ni hawawajibiki ipasavyo mfano kwenda location kushoot wao hawatekelezi kwa wakakat?
 
jinga kabisa hili!
 
Mmmmmh.....! Hiyo fani ya mitindo huwa vijana waliomo wanakuwa na utata mwingi hasa upande wa sexual preferences ila dah ngoja nisikimbilie ku-judge.
 
Mmmmmh.....! Hiyo fani ya mitindo huwa vijana waliomo wanakuwa na utata mwingi hasa upande wa sexual preferences ila dah ngoja nisikimbilie ku-judge.
fani ya ualimu huwa na mashaka nayo kila nikikimbuka yule mwalimu alie kuwa anapumuliwa nyuma na mwanafunzi wake hivyo usigeneralise jambo kisa watu wachache
 
Hao vijana uliowataja kama reference umejitukana sana, wanasabisha harufu isiyofaa.
 
fani ya ualimu huwa na mashaka nayo kila nikikimbuka yule mwalimu alie kuwa anapumuliwa nyuma na mwanafunzi wake hivyo usigeneralise jambo kisa watu wachache
Mwalimu, probably one in a zillion lakini models it's big to the hell NO. This shit is global in case you don't know.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…