Wakuu mi ni mgeni humu kazi yangu mwanamitindo(modeling) na uchekeshaji mitandaoni

Sawa dada angu flaviana matata alikutana na trump na kusema name machache unazani flavi alienfa kwa trump kama nani, ni Marais wangapi wanaitaka hio fursa?


Asante na karibu
Wanawake hamna shida, shida ipo kiumeni....kiukweli niliowaona mie na ninao wajua wengi ni 🌈
 
Afu eti amechuchumaa... Atakunya
 
Watu wa humu hawana tatizo kabisa, ndivyo walivyo. Umeleta mambo ya istagram huku ndo maana wanashangaa
 
Humu mkuu ukifika tu kama kazi zako zinaeleweka kama hivyo ulivyosema wewe ni mchekeshaji basi unapost kichekesho tuone kama tutacheka kweli! Tusipocheka lazima ujiondoe kwenye jamvi maana utakuwa hujakidhi vigezo!
 
Wanawake hamna shida, shida ipo kiumeni....kiukweli niliowaona mie na ninao wajua wengi ni 🌈
Kwani hamna mwalimu shoga alie shikwa juzi, na mapolisi kama wa Zanzibar je? Bas mwanao asiwe polis na mwalimu eti

Asante na karibu
 
Watu wa humu hawana tatizo kabisa, ndivyo walivyo. Umeleta mambo ya istagram huku ndo maana wanashangaa
Unamaana hawana Instagram kweny simu zao na wanajiandaa kuwa viongozi watatatuaje mambo ya watu kama wao tu hawako kwenye circle ya watu?


Asante na karibuu
 
Kwani hamna mwalimu shoga alie shikwa juzi, na mapolisi kama wa Zanzibar je? Bas mwanao asiwe polis na mwalimu eti

Asante na karibu
Mbona hautaki kuupokea ukweli??? Hebu tolea mifano kwenye hiyo industry ya uanamitindo..... Kina martin kadinda, yule modo wa diamond ana jina la kichaga hivi n.k nk wasemee hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…