Wakuu, mlishakutana na hii hali?

Wakuu, mlishakutana na hii hali?

Tatzo wankuja late...namaanish unapoingia kweny relationship ndo utaona pis Kali zinajsogeza
Wanakuwa wametathmini uwezo wako kupitia kwa uliyenaye; wengi wanaokuja kwa nyakati hizi ni wasaka fursa
 
Daa umenikumbushaa mkuu daladala ya tabata to kawe natokea tabata cku ya jtatu mida ya saa sabaa mchana naelekea mwenge nimekaa cty ya nyuma kabisa pekee yangu gari inatembea km unavyojua mchana hkn abiria wengi ,mara Kuna dada alikuwa Kaa cyt ya mbelee akahamia cyt ya nyuma nilipo hapo abiria tupo km sita tu hv ,alipoka akanipa hi .nikaitikia kalikuwa kazuri tu alafu kamevaa kapendeza Kwa kujisitiri ..bac bhana kakaniambia samahan ,unaitwa nani ,nikamdanganya jina ,NAMI nikamuuliza jina lake akaniambia,bac bhana akaniambia km utojali (uku akitaja jina nililomdanganya )naomba namba yako ntakutafuta maana nashuka kituo kinachofata [emoji28][emoji28] nikajisemea huyu c malaya wa tabata kwel lkn nikampaa kilichofataa baada ya nambaaa..............!!!

Ni vilee n Mzee wa kataa NDOA tu ,lkn atakae kuja kuoaa aiseee aiseee atakuwa kapata mke haswaaaa..k yk na ipa alama A,Kwenye mapishi alama A,usafi wa jumla alama A ,upendo na ukarimu A , kumcha MUNGU alama C maana bd anazin ila akipata mume sahihi atapata alama A ..labda shetan ambadilisheee ..
 
Inakera sana nyakati una upwiru huna hata kumi account huwaoni ukianza kuonja pesa mbili tatu unashangaaa unakutana nao tu hata huelewi wametoka wapi na wengi beki hazikabi
[emoji28][emoji28][emoji28]ndio maana wanakwambia pesa sabunii ya roho ,na pesa ukiipata hajifichi na una ng'aa km ua lilonawiri na nyuki lazima waje watue hapo kaka

Zingatia neno" nyuki" [emoji23][emoji23]
 
Sijui kwanini mkuu?
Jibu, wanaume halisi wenye sifa za kuoa ni wachache, na wengi waliopo tayari walishaoa; na hii imepelekea wanawake wengi kubaki bila kuwa na wenza wa kudumu, kwa sababu mwanaume mmoja anaweza kushea wanawake 6+ ila aliyemuoa ni mmoja tu.​
 
Back
Top Bottom