Wakuu, mlishakutana na hii hali?

Wakuu, mlishakutana na hii hali?

Inakera sana nyakati una upwiru huna hata kumi account huwaoni ukianza kuonja pesa mbili tatu unashangaaa unakutana nao tu hata huelewi wametoka wapi na wengi beki hazikabi
Sorry beki hazikabi ndo nini?

Mi mwenyewe nimetongozwa sana na mademu ila nimewakataa.
 
Inakera sana nyakati una upwiru huna hata kumi account huwaoni ukianza kuonja pesa mbili tatu unashangaaa unakutana nao tu hata huelewi wametoka wapi na wengi beki hazikabi
Ni sawa na Ukiwa Singo hupati kabisaa.... Na ukipata ni wabovu wabovu, Uwe kwenye mahusiano sasa utashangaa wankuja wengi mpaka unasema kwani walikua wapi Kipindi Nikiwa singo na wanakuja wakali kumzidi uliyenae ilimradi u cheat ushikwe urudi kuwa singo.
 
Naskia ukioa unaanza unaanza kukutana na wanawake uliokua unawish kua nae
 
Back
Top Bottom