Wakuu, mlishakutana na hii hali?

Wakuu, mlishakutana na hii hali?

Jibu, wanaume halisi wenye sifa za kuoa ni wachache, na wengi waliopo tayari walishaoa; na hii imepelekea wanawake wengi kubaki bila kuwa na wenza wa kudumu, kwa sababu mwanaume mmoja anaweza kushea wanawake 6+ ila aliyemuoa ni mmoja tu.​
Sahihi Kabisa
 
Mambo yamebadilika wakuu

Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.

Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia mahusiano ya kudumu.

Mara kadhaa kwangu imenitokea, nikahisi labda kwa sababu ya wao kuwa wengi, na soko kuchuja.

Wakuu, mlishakutana na hii hali?
We mpumbavu jana usiku umetupigia kelele na demu wako wakati mnanyanduana kumbe demu ndiyo alikutongoza
Pambana na hali yako chakubanga wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
We mpumbavu jana usiku umetupigia kelele na demu wako wakati mnanyanduana kumbe demu ndiyo alikutongoza
Pambana na hali yako chakubanga wewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ukitumia nguvu nyingi kusikiliza hayo makelele; mwili unanyong'onyea 😀 😀
 
Mapua yao hua yananusa pesa za mavuno zikisha ingia mifukoni hua hawako mbali Sana hata kama wewe sio mtu wa bata kabisa
 
Mambo yamebadilika wakuu

Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.

Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia mahusiano ya kudumu.

Mara kadhaa kwangu imenitokea, nikahisi labda kwa sababu ya wao kuwa wengi, na soko kuchuja.

Wakuu, mlishakutana na hii hali?
Huyo shoga! Siku hizi uwezi tofautisha demu na shoga! Wote wanafanana kwa kujidunga sindano za hormone! Ingia naye geto uone atakavyokugeuzia kibao!
 
Daa umenikumbushaa mkuu daladala ya tabata to kawe natokea tabata cku ya jtatu mida ya saa sabaa mchana naelekea mwenge nimekaa cty ya nyuma kabisa pekee yangu gari inatembea km unavyojua mchana hkn abiria wengi ,mara Kuna dada alikuwa Kaa cyt ya mbelee akahamia cyt ya nyuma nilipo hapo abiria tupo km sita tu hv ,alipoka akanipa hi .nikaitikia kalikuwa kazuri tu alafu kamevaa kapendeza Kwa kujisitiri ..bac bhana kakaniambia samahan ,unaitwa nani ,nikamdanganya jina ,NAMI nikamuuliza jina lake akaniambia,bac bhana akaniambia km utojali (uku akitaja jina nililomdanganya )naomba namba yako ntakutafuta maana nashuka kituo kinachofata [emoji28][emoji28] nikajisemea huyu c malaya wa tabata kwel lkn nikampaa kilichofataa baada ya nambaaa..............!!!

Ni vilee n Mzee wa kataa NDOA tu ,lkn atakae kuja kuoaa aiseee aiseee atakuwa kapata mke haswaaaa..k yk na ipa alama A,Kwenye mapishi alama A,usafi wa jumla alama A ,upendo na ukarimu A , kumcha MUNGU alama C maana bd anazin ila akipata mume sahihi atapata alama A ..labda shetan ambadilisheee ..
Namba yake tafadhali ili timu kubali ndoa nijiridhishe na maelezo haya.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Back
Top Bottom