Sahihi KabisaJibu, wanaume halisi wenye sifa za kuoa ni wachache, na wengi waliopo tayari walishaoa; na hii imepelekea wanawake wengi kubaki bila kuwa na wenza wa kudumu, kwa sababu mwanaume mmoja anaweza kushea wanawake 6+ ila aliyemuoa ni mmoja tu.
Swaga zikiwa nzuri, lazima namba itaombwa tu πWw ujue utawaponza wenzio watukanwe pindi wakijirahisisha ili wapewe namba ooh πππ
We mpumbavu jana usiku umetupigia kelele na demu wako wakati mnanyanduana kumbe demu ndiyo alikutongozaMambo yamebadilika wakuu
Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.
Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia mahusiano ya kudumu.
Mara kadhaa kwangu imenitokea, nikahisi labda kwa sababu ya wao kuwa wengi, na soko kuchuja.
Wakuu, mlishakutana na hii hali?
Kwa hiyo wewe una moto?Mwanaume halisi kabisa, na moto wanapelekewa wa hatari
Ukitumia nguvu nyingi kusikiliza hayo makelele; mwili unanyong'onyea π πWe mpumbavu jana usiku umetupigia kelele na demu wako wakati mnanyanduana kumbe demu ndiyo alikutongoza
Pambana na hali yako chakubanga wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Balaa hilo litupiteKwa hiyo wewe una moto?
Itakuwa umeungua wewe
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
π€£π€£π€£wadada wanajua kutongoza nyie...π
Huyo shoga! Siku hizi uwezi tofautisha demu na shoga! Wote wanafanana kwa kujidunga sindano za hormone! Ingia naye geto uone atakavyokugeuzia kibao!Mambo yamebadilika wakuu
Zamani ilikuwa mwanaume ndio anaomba namba kwa mwanamke, na anaishia kuzungushwa zungusha na mwisho wa siku anaweza asipewe namba.
Ila nyakati hizi mambo yamebadilika; wanawake ndio wanaomba namba, na ukimpatia tu; anaanza kukusumbua muweze kuonana na kupangilia mahusiano ya kudumu.
Mara kadhaa kwangu imenitokea, nikahisi labda kwa sababu ya wao kuwa wengi, na soko kuchuja.
Wakuu, mlishakutana na hii hali?
Dahhh...mπMwaka.mpya mambo mapya
Chukua ya kwangu huyo hatoi nambaTukuone basi wenda na sie tukaomba namba [emoji85][emoji85][emoji85]
Namba yake tafadhali ili timu kubali ndoa nijiridhishe na maelezo haya.Daa umenikumbushaa mkuu daladala ya tabata to kawe natokea tabata cku ya jtatu mida ya saa sabaa mchana naelekea mwenge nimekaa cty ya nyuma kabisa pekee yangu gari inatembea km unavyojua mchana hkn abiria wengi ,mara Kuna dada alikuwa Kaa cyt ya mbelee akahamia cyt ya nyuma nilipo hapo abiria tupo km sita tu hv ,alipoka akanipa hi .nikaitikia kalikuwa kazuri tu alafu kamevaa kapendeza Kwa kujisitiri ..bac bhana kakaniambia samahan ,unaitwa nani ,nikamdanganya jina ,NAMI nikamuuliza jina lake akaniambia,bac bhana akaniambia km utojali (uku akitaja jina nililomdanganya )naomba namba yako ntakutafuta maana nashuka kituo kinachofata [emoji28][emoji28] nikajisemea huyu c malaya wa tabata kwel lkn nikampaa kilichofataa baada ya nambaaa..............!!!
Ni vilee n Mzee wa kataa NDOA tu ,lkn atakae kuja kuoaa aiseee aiseee atakuwa kapata mke haswaaaa..k yk na ipa alama A,Kwenye mapishi alama A,usafi wa jumla alama A ,upendo na ukarimu A , kumcha MUNGU alama C maana bd anazin ila akipata mume sahihi atapata alama A ..labda shetan ambadilisheee ..
Subiri kwanza ukue, mbona utazitafuta hizo namba πMjomba anajipa ujiko huyu sijapata kuona
Kwanza nani anamuomba namba usikute ni da mau π€£
πππππ Umeanza da mau kaingiaje hapo.!!Mjomba anajipa ujiko huyu sijapata kuona
Kwanza nani anamuomba namba usikute ni da mau π€£
ShindwaaaSubiri kwanza ukue, mbona utazitafuta hizo namba π
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Nimecheka nikatuliza mshono tu mimi